PICHA 20: SPORTS ETXRA ILIVYORUKA LIVE KUTOKA MAKAO MAKUU YA TEMEKE MARKET
Asikwambie mtu Ndondo inabamba sana kitaa, kuelekea nusu fainali ya michuano hiyo, Sports Extra ya Clouds FM inaruka moja kwa moja kwenye makao makuu ya timu ambazo zimefuzu kucheza hatua hiyo. Baada...
View ArticleTOP 10 YA WACHEZAJI WALIONUNULIWA KWA MKWANJA MREFU ZAIDI HADI SASA
Usajili wa Hulk kutoka Zenit St Petersburg kwenda Shanghai SIPG ndiyo usajili ghari zaidi hadi sasa katika dirisha hili la usajili. Lakini huenda sajili za Pogba na Morata kwenda Manchester United na...
View ArticleMASTAA WATANO WALIOFIA MIKONONI MWA MOURINHO
5.Mohamed Salah Mohamed Salah alijiunga na Chelsea January 2014, kipindi cha pili cha kocha huyo aliyefukuzwa kwa mara nyingine na miamba hiyo ya London Magharibi. Mourinho alivutiwa na kiwango chake...
View ArticleZLATAN AMEPOST MANENO HAYA ISNTAGRAM BAADA YA KUMPORA JEZI MARTIAL
Namba za awali za wachezaji wa Manchester United kwa ajili ya msimu ujao zimetangazwa. Hii ni habari kubwa kwa sababu kadha wa kadha. Kwa sababu kuna namba ambayo imeachwa wazi, na taarifa za awali...
View ArticleMOU ATOA UTETEZI BAADA YA KIPIGO KUTOKA DORTMUND
Jose Mourinho amesisitiza kwamba hawezi kujaji wachezaji wake wa Manchester United kutokana na kipigo cha mabao 4-1 walichokipata kutoka kwa Borussia Dortmund na kusema kwamba: “Injini ilikuwepo...
View ArticleROMA, CHIEF WA KAUZU, WAPAGAWISHA SPORTS EXTRA LIVE -TANDIKA
Mkali wa Bongo Hip Hop Roma Mkatoliki jana usiku alip[agawisha mashabiki wake wa Tandika wakati kipindi cha Sports Extra kikiruka live kutoka mitaa ya Tandika kwenye makao makuu ya Kauzu FC....
View ArticleEBWANA HISTORIA YA JINA LA KAUZU FC NOMA SANA
Inawezekana umekuwa unajiuliza maswali mengi kuhusu timu ya Kauzu FC, kwanini imepewa jina hilo na lina maana gani lakini maswali yako yakakosa majibu. Sasa Chief wa Kauzu FC imekuja na majibu ya...
View ArticleRONALDO AZINDUA HOTEL YAKE YA KIFAHARI
Kamwe Cristiano Ronaldo hajawahi kushindwa kitu. Kwa sasa ni moja ya wanamichezo matajari duniani ambaye ameamua kujaribu bahati yake kwenye biashara ya Hoteli. Ndio ameamua kufanya hivyo. Baada ya...
View ArticleTEMEKE MARKET HIYOOO FAINALI YA NDONDO CUP
Timu ya Temeke Market imefanikiwa kutangulia fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup 2016 baada ya kuifunga Makumba FC kwenye kwa penati 3-1. Dakika 90 za pambano hilo lililopigwa kwenye uwanja...
View ArticleGAUCHO AKUBALI KIROHO SAFI
Mchezaji bora wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza iliyozikutanisha Makumba FC dhidi ya Temeke Market alitajwa kuwa ni Ally Mohamed maarufu kama ‘Gaucho’ akitokea Makumba FC timu ambayo ilipoteza...
View ArticleVideo: MARCELO AMEKUTANA NA JAMAA ANAYEFANANA NAE, MAMBO YAKAWA HIVI…
Beki wa kushoto wa Real Madrid Marcelo amekutana na jamaa ambaye wanafanana kwa kiasi kubwa anayefahamika kwa jina la Michael Salazar mshambuliaji wa Montreal Impact. Jamaa hawa wana wanaonekana kama...
View ArticleJIBU LA RONALDO BAADA YA KUULIZWA KAMA ANAFIKIRIA KUTWAA BALLON D’OR
Cristiano Ronaldo aliamua kurejea Madeira mji aliokua, akitokea kwenye mapumziko ya muda katika kipindi hiki cha majira ya joto barani Ulaya. Haikuwa kwa sababu nyingine bali ni kuzindua hoteli yake...
View ArticleNI KAUZU VS TEMEKE MARKET FAINALI YA NDONDO CUP
Kauzu FC imetinga fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup baada ya kuichapa Misosi FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati. Mchezo huo wa nusu fainali ya pili ulipigwa kwenye uwanja wa Bandari...
View ArticleMAKONDA AWAPA MAJUKUMU MATATU WACHEZAJI NDONDO CUP
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda jana aliibuka kwenye michuano ya Sports Extra Ndondo Cup kushuhudia nusu fainali ya pili kati ya Kauzu FC dhidi ya Misosi FC. Baada ya kuzikagua timu,...
View ArticleRAGE: KWANINI MNAKIMBILIA KUSAJILI NJE? NJOONI NDONDO MCHUKUE VIFAA
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, naye pia alikuwepo uwanja wa Bandari kwenye game ya nusu fainali ya Ndondo Cup kati ya Kauzu FC dhidi ya Misosi na baada ya mechi hiyo...
View ArticlePICHA: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA
Pambano la nusu fainali kati ya Kauzu na Misosi ilihudhuriwa na mashabiki wengi sana, ukiachana na mechi ndani ya uwanja, nje ya uwanja kulikuwa na pambano kali la mashabiki wa timu hizo mbili. Kama...
View ArticleHATA RAIS MAGUFULI ANAPENDA NDONDO – MAKONDA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda amesema mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup yanamvutia pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Maguli. Mh. Makonda alikuwa mgeni rasmi...
View ArticleKAMUSOKO AMEANDIKA UJUMBE MZURI KUM-WISH MKEWE HAPPY BIRTHDAY
Ujumbe wa Kamusoko kum-wish mkewake happy birthday uliambata na picha hii Leo Julai 26 mke wa kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa (birthday), katika kuona umuhimu huo,...
View ArticleSIMBA YATOA KICHAPO MECHI YA KIRAFIKI MORO
Mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Polisi Moro umepigwa katika uwanja wa chuo cha High Land uliopo Bigwa nje kidogo ya manispaa ya Morogoro mjini Mchezo huo umemalizika kwa Simba kupata ushindi...
View Article