Quantcast
Channel: NYINGINE – ShaffihDauda
Browsing all 565 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWA ATIMKIA KWAO

Mlinzi wa kati wa Azam FC Pascal Wawa ameondoka Dar leo alfajiri kuelekea nyumbani kwao kwao Ivory Coast kwa mapumziko mafupi baada ya kurudi kutoka Afrika Kusini katika matibabu ya mguu wake. Wawa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAITUNISHIA MSULI TFF

Katika wiki chache zilizopita, kumekuwepo migongano mingi kuhusiana na masuala ya klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club) ambapo haikuwa vyema kuyajibu au kuyajadili wakati klabu hiyo ilikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANINI YANGA HAWAVAI JEZI ZENYE NEMBO YA KILIMANJARO? MANJI AMETOA MSIMAMO MPYA

Mkataba wa kampuni ya bia nchini (TBL) na YANGA ulisainiwa miaka mitano iliyopita na mtangulizi wangu.  Huu ulikuwa mkataba haramu kwani mamlaka ya kutia saini mikataba kwa mujibu wa Katiba ya Yanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU BMT AIPAMBANISHA NDONDO CUP NA VPL

Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Mohamed Kiganja (katikati) akifatilia kwa makini mchezo wa Ndondo Cup hatua ya 16 bora kati ya Misosi FC vs Wauza Matari kwenye uwanja wa Bandari,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. NNAUYE AIPA 5 MIACHUANO YA NDONDO CUP

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye akisalimiana na wachezaji wa Ndondo Cup kwenye uwanja wa Bandari, Tandika Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBADA ONE YATINGA ROBO FAINALI NDONDO CUP 2016

Kibada One wamefuzu kucheza hatua ya robo fainali ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup baada ya kuichapa Madiba FC kwa magoli 3-1 kwenye uwanja wa Bandari, Tandika. Magoli ya Kibada One...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANARA APOTEZA UWEZO WA KUONA!!

Kunastori inazidi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai Ofisa Habari wa klabu ya Simba Bw. Haji Manara amepoteza uwezo wa kuona. Taarifa zinadai awali jicho lake moja lilipoteza kabisa uwezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MESSI AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI 21

Mchezaji wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela kwa makosa ya ukwepaji kodi. Baba yake pia amehukumiwa kifungo cha kwenda jela kwa makosa hayohayo ya udanganyifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAUZU YAKAMILISHA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI NDONDO CUP 2016

Hatua ya 16 bora ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup imehitimishwa kwa pambano kati ya Kauzu FC dhidi ya Mlalakua Ranfers kwenye uwanja wa Bandari, Tandika. Kauzu FC imefanikiwa kutinga kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAAHIRISHA KUPIGA KAMBI NJE YA DAR

Klabu ya Yanga imeahirisha kuweka kambi nje ya Dar kwa ajili ya maandlizi ya mchezo wao wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Meadeama baada ya kukosa sehemu stahiki. Awali ilitajwa kwamba wangeenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHABIKI WA YANGA WAMKABIDHI MANARA MCHANGO WA MATIBABU

Mashabiki wa Yanga wakimkabidhi Haji Manara mchango kwa ajili ya Matibabu (Picha na Godlisten Chicharito) Wanachama na mashabiki wa klabu ya Yanga wakiongozwa na Jerry Muro wamemtembelea mkuu wa habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 7 USIYOYAJUA KUHUSU LIGI YA CHINA

Na Athumani Adam Amezitosa timu za Chelsea pamoja na Everton za Uingereza, ameingia kwenye rekodi ya kundi la wachezaji kumi wa juu wanaolipwa zaidi duniani. Atalipwa kiasi cha Euro milioni 13 pesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 15: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA

Asikwambie mtu utamu wa Ndondo upo nje ya uwanja, hilo limeendelea kudhihirika wakati wa mchezo wa robo fainali kati ya Misosi FC dhidi ya Gomz United mchezo uliomalizika kwa Misosi kutinga nusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECHI NANE KALI KABLA YA KUANZA KWA MSIMU MPYA

Achana na ubingwa wa Ureno kwenye michuano ya Euro, sasa ni wakati wa maandalizi wa msimu mpya kwenye ligi mbali mbali barani Ulaya. Mastaa wanarudi kutoka kwenye fukwe za Ibiza tayari kukusanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKASA NA FIGISU ZA LIGI YA TANZANIA

Na Zaka Zakazi Shirikisho la soka hapa nchini, TFF, linakaribia kutoa ratiba ya msimu wa 20 wa ligi kuu Tanzania Bara. Huu utakuwa msimu wa 20 tangu kuanza kwake mwa 1997 baada ya kubadilika mfumo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOP 6 YA WACHEZAJI WANAOMILIKI MAGARI YA KIFAHARI BAADA YA RONALDO KUSHUSHA...

Soka ni moja ya michezo maarufu zaidi ulimwenguni ambapo wachezaji huvuna mamilioni ya fedha. Kutokana na hali hiyo wachezaji humiliki mali nyingi yakiwemo magari ya kifahari ambayo hutokana na pesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA VPL 2015/16

Usiku wa Jumapili Julai 16 zimetolewa tuzo kwa timu, wachezaji na makocha kutokana na kufanya vizuri kwenye ligi kuu Tanzania bara katika msimu wa 2015/16 ambao ulimalizika mwezi Mei kwa Yanga kuibuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MATUKIO 18 YALIYOBAMBA TUZO ZA VPL 2015/16

Wachezaji wote walioshinda tuzo za ligi kuu Tanzania bara wakiwa kwenye picha ya pamoja Wadau wa soka la Bongo walikusanyika usiku wa Julai 16 kwa ajili ya kushuhudia ugawaji wa tuzo mbalimbali kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKASA YA LIGI YA TANZANIA-Part IV

Na Zaka Zakazi Mpaka kufikia msimu wa nne wa ligi ya taifa, 1968, timu kali zilikuwa Yanga, Sunderland, Africans Sports na Cosmopolitan. Mwaka huu, FAT iliamua kuachana na wazo la ligi ya kanda na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA ASHUSHA NEEMA NDONDO CUP

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Mkonda (katikati) akieleza ni namna gani mkoa wa Dar es Salaam umejipanga kuimarisha mashindano ya Ndondo Cup ili kutoa fursa kwa vijana kusonga mbele katika...

View Article
Browsing all 565 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>