Quantcast
Channel: NYINGINE – ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

PICHA: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA

$
0
0

IMG_0068

Pambano la nusu fainali kati ya Kauzu na Misosi ilihudhuriwa na mashabiki wengi sana, ukiachana na mechi ndani ya uwanja, nje ya uwanja kulikuwa na pambano kali la mashabiki wa timu hizo mbili.

Kama kawaida ya Chief wa Kauzu, yeye aliingia uwanjani akiwa kwenye ungo lakini kubwa kuliko ni jamaa wa Misosi ambaye aliingia akiwa ametundikwa msalabani.

Kama mechi ilivyokuwa ngumu uwanjani ndivyo ilivyokuwa hata nje ya uwanja kwani kila kikundi cha ushngiliaji kilijitahidi kuhakikisha kinawavutia mashabiki kutokana na ubunifu na mbinu zao lakini kubwa ni kuipa support timu yao kuhakikisha inaibuka na ushindi.

shaffihdauda.co.tz inakupa fursa ya kushuhudia picha za matukio kadhaa yaliyojiri kwenye mechi hiyo iliyomalizika kwa Kauzu kufuzu kuingia fainali ya mashindano ya Ndondo msimu huu.

IMG_0169
IMG_0204 IMG_0224 IMG_0048 IMG_0183


Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>