MWAMBUSI AMEZUNGUMZIA KIWANGO CHA CHIRWA
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Juma Mwambusi amevunja ukimya na kutoka ufafanuzi kuhusu watu wanaobeza kiwango cha mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia Obrey...
View Article‘MECHI 3 YANGA SC WEWE BADO UNAMSUBIRIA TU OBREY CHIRWA?’
Na Baraka Mbolembole LICHA ya kusajili kwa matarajio makubwa katika klabu ya Yanga SC akitokea FC Platnum ya Zimbabwe, kiungo-mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa ni kama tayari ‘amejiweka’ katika...
View ArticleUSHINDI MWINGINE WA GENK YA SAMATTA WAIWEKA PAZURI EUROPA LEAGUE
Klabu ya KRC Genk ya Belgium anakokipiga mtanzania Mbwana Samatta, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Cork City katika mchezo wa kwanza wa raundi ya tatu kuwania kufuzu kucheza hatua...
View ArticleWACHEZAJI 10 WANAOCHEZA PAMOJA TIMU YA TAIFA LAKINI MAHASIMU KWENYE VILABU
PJANIC & DZEKO, Bosnia Wawili hao ni wachezaji wa timu ya taifa ya Bosnia walikuwa pamoja kwenye kikosi cha Roma hadi pale Pjanic alipohamia Juventus hivi karibuni. Dzeko na Pjanic walikuwa ni...
View ArticleJicho La 3: MO, KARIBU SANA SIMBA SC, NIONE TIMU YA NDOTO ZANGU…
Na Baraka Mbolembole Alhamisi hii rais wa klabu ya Simba SC, Evance Aveva alisema kwamba ni wanachama pekee wa klabu hiyo ambao watatoa mwelekeo mpya wa klabu, kutoka mfumo wa sasa wa kutegemea...
View ArticleMBUNGE WA KINONDONI AIBUKA NDONDO NA KUTOA NENO
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mulid Mtulya alikuwepo uwanja wa bandari kuishuhudia timu yake ya Misosi FC inavyopambana na Makumba FC katika mechi ya kumpata mshindi wa tatu wa mashindano ya Ndondo Cup...
View ArticleSAKATA LA MARTILA NA MPENZI WAKE, KAKA YAKE AINGILIA KATI
Sakata la Anthony Martial na mpenzi wake wa zamani Samantha Hili linaweza kuwa na athari kubwa kwa Martial na mashabiki wa Manchester United wanaomba hili lisitokee na kuathiri kiwango cha mchezaji...
View ArticlePICHA 18: KINAVYO-HAPPEN UWANJA WA BANDARI FAINALI YA NDONDO CUP 2016
Leo ndio kilele cha mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup ambapo utapigwa mchezo wa fainali kati ya Kauzu FC dhidi ya Temeke Market ‘Temeke Derby’ kwenye uwanja wa Bandari. Tayari watu wameshajitokeza...
View ArticlePICHA 12: MATUKIO YALIYOJIRI NJE YA UWANJA FAINALI YA NDONDO CUP 2016
Mashindano ya Ndondo Cup yananogeshwa na mashabiki wake kwa asilimia kubwa, ubunifu na aina yao ya ushangiliaji umekuwa ukiwavutia hata wale ambao hawana mazoea ya kuangalia mpira. Sasa Julai 30...
View ArticleKISIGA AJIZOLEA MIZAWADI NDONDO CUP
Baada ya Temeke Market kubuka mabingwa wa Ndondo Cup 2016 kwa kuifunga Kauzu FC magoli 3-1, Shabani Kisiga ‘Malone’ alitangazwa mchezaji bora wa mechi hiyo lakini pia mchezaji bora wa mashindano ya...
View ArticleKUFUNGWA NOMA SANA, CHIFU WA KAUZU KALOWA ‘CHAPACHAPA…’
Chifu wa Kauzu ni shabiki wa Ndondo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na style zake za ushangiliaji huku akipata mashabiki wengi wanaopenda vituko na mbwembwe zake pindi anapokuwa...
View ArticleSAMATTA UWANJANI LEO LIGI KUU UBELGIJI
Mbwana Samatta leo anatarajiwa kuonekana tena katika nyasi za Ulaya pale timu yake ya Genk itakapovaana na KV Oostende katika muendelezo wa mechi za ufunguzi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama...
View ArticleSIMBA YANUKIA MIKONONI MWA MO, ATAJA SABABU YA KUTOPELEKA OFA KWA MAANDISHI
Ikiwa ni siku moja tu baada ya wanachama wa klabu ya Simba kuridhia mabadiliko ya klabu yao kutoka kwenye mfumo wa sasa wa uanachama hadi kuwa kampuni ambayo itaendeshwa kibiashara, bilionea Mohamed...
View ArticleMTANZANIA ANAECHEZA ZAMBIA AMEITAJA SABABU YA JINA LAKE KUONDOLEWA KIKOSI CHA...
Juma Luizio-mchezaji wa timu ya Zesco United ya Zambia Na Baraka Mbolembole MSHAMBULIZI Mtanzania anayekipiga katika timu ya Zesco United ya Zambia leo Jumanne anaweza kufahamu hatima yake kuhusu...
View ArticleBAADA YA UKWEPAJI KODI, MESSI ADONDOKEA KWENYE KASHFA YA MAPENZI
Nyota wa Barcelona na Argentina Leo Messi amepata kashfa kubwa baada ya modo wa Kiargentina Xoana Gonzalez kufichua siri nzito na ya muda mrefu tangu alipowahi kuwa na uhusiano na fundi huyo wa mpira....
View ArticleTFF NI WAKALA WA VILABU?
Na Isack Makundi, Babati -Manyara TFF kirefu chake ni Tanzania Football Federation, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia mvutano juu ya mapato kati TFF na vilabu hasa hivi vikubwa (Yanga na Simba) kuwa...
View ArticleKAKA YAKE SCHWEINSTEIGER AMPIGA DONGO MOURINHO
Mchezaji anayesubiriwa kwa hamu kutua Manchester United bado hajatua. Taarifa za vyombo mbalimbali vya habari zimekuwa zikitaja wachezaji ambao Jose Mourinho atawaondoa kwenye kikosi chake. Mapema...
View ArticleMO AANZA KUTIA MKWANJA SIMBA
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa makapumni ya Mohammed Enterprises Ltd (MeTL Group) Mohammed Dewji ‘MO’ ametoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa klabu ya Simba kwa ajili ya kusaidia zoezi la usajili...
View ArticleJOHN OBI MIKEL ABADILI JINA
John Obi Mikel ameamua kubalisha jina lake. Jina lake halisi alikuwa anaitwa Michael John Obi, lakini Shirikisho la Soka nchini Nigeria kwa bahati mbaya walikosea herufi wakati wakimwandikisha jina...
View ArticleCHAMA CHA SOKA UTURUKI, CHAFANYA KWELI. WAAMUZI 94 WAFUKUZWA KAZI.
Mamlaka ya soka nchini Uturuki chini ya chama cha soka cha nchi hiyo (TFF) kimeamua kuwafukuza kazi viongozi wa soka nchini humo wakiwemo waamuzi ambao idadi yao inafikia 94. taarif zinasema kuwa...
View Article