SPAIN TIMU YA KWANZA KUFUNGA MABAO MENGI EURO 2016
Mabingwa mara mbili mfululizo wa kombe la Mataifa ya Ulaya timu ya taifa ya Hispania imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Uturuki kwa bao 3-0 kwenye mji wa Nice, Ufaransa. Wakionesha...
View ArticleBAADA YA VURUGU ZA MASHABIKI WA CROATIA, HAYA NI MANENO YA STAR WA BARCELONA
Kocha wa Croatia Ante Cacic amewaita ‘magaidi wa michezo’ mashabiki waliorusha vipande vya moto uwanjani kwenye mchezo wao dhidi ya Jamhuri ya Czech. Mchezo huo ambao umeisha kwa sare ya mabao 2-2,...
View ArticleNDONDO CUP YAENDELEA KUPANDA THAMANI
Na Yahaya Mohamed Kampuni ya Mwananchi Communicanions Limited kupitia gazeti lake la Mwanaspoti, gazeti namba moja la michezo, imetia saini makubaliano ya kudhamini michuano ya Sports Extra Ndondo...
View ArticlePICHA 14: VIKUNDI VYA USHANGILIAJI NDONDO CUP JIPANGENI, HUYU JAMAA ANAKUJA...
Ukiachana na burudani ya uwanjani inayopatikana kwenye michuano ya Ndondo Cup, nje ya uwanja huwa kuna balaa jingine kutoka kwa vikundi vya ushangiliaji ambavyo huzipa nguvu timu zao zikiwa...
View ArticlePICHA: UHONDO WA NDONDO CUP NJE YA UWANJA
Kama kawaida kwenye Ndondo Cup ndiyo ilipo burudani ya soka kwasasa ‘kibongobongo’ Ulaya wao wana michuano yao ya Euro wati bara la America wao wao wanazungumza habari za Copa America. Sio siri upekee...
View ArticleUCHAGUZI KIFA WAZUA VITA NYINGINE DRFA VS TFF
Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kimestushwa na kufadhaishwa na maamuzi yaliyofanywa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kutangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya...
View ArticleMCHEZAJI MZEE ZAIDI DUNIANI AWEKA REKODI MPYA YA UFUNGAJI
Na Naseem Kajuna Nywele zake zimebadilika rangj na miaka imechukua miguu yake lakini akiwa na miaka 49 Kazoyushi Miura, Jumapili alionesha kwamba bado hayukotayari kustaafu baada ya kuweza kuvunja...
View ArticleSIKU KOCHA WA WEST HAM UNITED HARRY REDKNAPP ALIMPOCHEZESHA SHABIKI KWENYE MECHI
Na Naseem Kajuna Soma stori hii ikihadithiwa na kocha wa zamani wa Tottenham na West Ham Harry Redknapp kuhusu siku aliyomchezesha shabiki kwenye mechi. Mwaka 1994 katika klabu ya West ham tulikuwa na...
View ArticleRONALDINHO NI MCHEZAJI BORA ZAIDI YA RONALDO NA MESSI – DECO
Na Naseem Kajuna Deco amesema kwamba Ronaldinho alikuwa na kipaji zaidi ya Cristiano Ronaldo na hata Messi. Mchezaji huyu wa zamani alicheza kwenye Barcelona pamoja pamoja na Messi na Ronaldinho na...
View ArticlePICHA 7: ‘HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA’, DAUDA Jr UWANJANI AKIJIFUA
Ule usemi wa ‘mbuyu ulianza kama mchicha’ nauona hapa, Dauda-Solskjaer Dauda ameanza kuonesha kuusudu mchezo wa soka na tayari ameanza kujifua. Wazazi mnatakiwa kuwapa-support watoto kwa kile...
View ArticleMMILIKI WA TP MAZEMBE ATUPWA JELA MIAKA 3
Katumbi, 51, amekutwa na hatia ya kuuza jingo kinyume cha sheria huko Lumbumbashi ambako ni makao makuu ya biashara zake na ametozwa pia faini ya dola za kimarekani 6,000,000 sawa na shilingi bilioni...
View ArticleMASAUNI AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU SHIRIKI
Muonekane wa nyuma wa moja ya jezi zitakazotumiwa katika mashindano ya kombe la Masauni/Jazeera, kutoka maeneo mbalimbali katika Jimbo la Kikwajuni kama inavyoonekana. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar...
View ArticleMBEYA CITY YAENDELEA KUULA KWA BINSLUM
Kampuni ya Binslum Tyre ya jijini Dar es Salaam, leo imesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya shilingi milioni 360 kuendelea kuidhamini klabu ya Mbeya City FC ya jijini Mbeya. Mara baada ya...
View ArticleSERENGETI BOYS YATEMBELEA AIRTEL
Mmoja kati ya wachezaji wa Serengeti Boys akiongea wakati timu hiyo ilipotembelea ofisi za Airtel makao makuu Timu ya vijana chini ya umri 17 – Serengeti Boys, leo wamefanya ziara katika kampuni ya...
View ArticleKATIBU MPYA WA SIMBA AMEAHIDI MAMBO MAKUU MAWILI KWA MASHABIKI
Patrick Kahemele amesaini mkata wa miaka miwili kuitumikia Simba kama Katibu Mkuu wa klabu hiyo baada ya mabingwa hao wa zamani kukaa kwa muda mfefu bila kuwa na mtendaji mkuu wa shughuli za klabu...
View ArticleMSIMAMO WA MAKUNDI NA RATIBA YA 16 BORA NDONDO CUP 2016
Baada ya mechi za makundi ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup kumalizika, huu ndiyo msimamo na ratiba nzima ya michuano hiyo kwa hatua ya 16 bora. Timu mbili zenye pointi nyingi kwenye kila kundi...
View ArticleRATIBA YA UCHAGUZI ASHANTI UNITED IPO HADHARANI
Habari za muda huu ndugu zangu wana Ashanti wenzangu, namtanguliza kwanza MwenyeziMungu kwa jina na utukufu wake mwingi wa rehema na asiyepungukiwa Ukarimu. Napenda kuwakumbusha na kuwajulisha kuwa...
View ArticleMASTAA 6 WA WAFATA NYAYO ZA MESSI KUTUNDIKA DARUGA ARGENTINA
Hii ni siku mbaya kwa soka la Argentina, baada ya kushindwa kutwaa taji la Copa America kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chile, wachezaji wa Argentina mmoja baada ya mwingine wamekuwa wakitangaza...
View ArticlePICHA 30: MATUKIO UWANJANI – YANGA V TP MAZEMBE
Camera ya shaffihdauda.co.tz imezinasa picha kadhaa wakati wa mchezo wa Yanga vs TP Mazembe, kuna mambo mengi yaliendela lakini hapa nakupeleka kwenye matukio yaliyojiri ndani ya uwanja.
View ArticleMURO KIKAANGONI TFF
Jerry Muro-Afisa habari klabu ya Yanga Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemwandikia barua ofisa habari wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro likimuita kwenye kujitetea kwenye kamati ambayo...
View Article