#EURO 2016 UFARANSA: MAMBO MUHIMU MANNE YA KUFAHAMU KUHUSU ENGLAND
Na Mahmoud Rajab Unapozungumzia mataifa makubwa katika soka ulimwenguni, basi hutoacha kuitaja England. Ni moja ya mataifa yanapambana kwa kiasi kikubwa kutafuta ‘glory’ kwa ajili ya watu wake lakini...
View ArticleNDONDO CUP KAMA KAWA, KEKO FURNITURE YAITULIZA STAKH SHARI
Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka imeendelea tena leo, kwenye uwanja wa Bandari ulipigwa mchezo kati ya Stakh Shari vs Keko Furniture. Meshack Abel (kushoto)...
View ArticleKOCHA WA ZAMANI WA NIGERIA STEVEN KESHI AFARIKI DUNIA
Nigeria wamepata pigo baada ya taarifa kwamba Stephen Okechukwu Keshi aka ‘the Boss’ amefariki ghafla mapema leo asubuhi. Mchezaji huyo wa zamani ambaye pia alimpoteza mkewe Kate mwaka jana aliyekuwa...
View ArticleBURIANI KESHI, HAKIKA UMEACHA YA KUKUMBUKWA AFRIKA, PUMZIKA KWA AMANI
Na Mahmoud Rajab Leo familia nzima ya soka barani Afrika imempoteza mtu muhimu sana aliyekuwa na mchango mkubwa katika soka la Afrika. Huyu si mwingine bali ni Stephen Keshi, kocha mzawa wa Nigeria...
View ArticleTWEETS KUTOKA KWA MASTAA WALIOGUSWA NA KIFO CHA STEPHEN KESHI
Kiukweli Stephen Keshi haihitaji utambulisho wowote kwa mtu yeyote mpenda soka hasa anayefuatilia soka la Afrika. Amefariki leo ghafla kutokana na maradhi ya shambulio la moyo (heart attack)....
View ArticleJUMA JABU ACHUKUA KIFAA NA KUUAGA UKAPELA
Nyota wa Kagera Sugar Juma Jabu akiwa na mkewake baada ya kufunganaye ndoa Beki wa kushoto wa kutumainiwa wa Kagera Sugar Juma Jabu, ameuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na kuanza maisha maisha mapya...
View ArticleGOLIKIPA WA UJERUMANI AJIUNGA NA WWE
Golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Werder Bremen Tiem Wiese (kushoto) akitambulishwa rasmi ndani ya WWE Golikipa wa zamani wa Ujerumani na klabu ya Werder Bremen Tiem Wiese...
View ArticleCOUTINHO APIGA HAT-TRICK BRAZIL IKIITWANGA HAITI 7-1 COPA AMERICA
Baada ya suluhu ya mchezo wa kwanza wa kundi B, Brazil wametoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Haiti baada ya kuwanyuka magoli 7-1 katika muendelezo wa mashindano ya Copa America Centenario mchezo...
View ArticleVideo: USO KWA USO NA PAUL NONGA NDANI YA STUDIO ZA CHOICE FM
Leo katika kipindi cha Vuruga cha Choice FM kilitembelewa na mgeni kwa ajili ya mahojiano. Mgeni huyo si mwingine bali ni Paul Nonga mchezaji wa nafasi ya ushambuliaji kutoka Yanga. Bofya hapa chini...
View ArticleCHIEF ATUA UWANJANI KWA UNGO, KAUZU FC IKIICHAPA BLACK SIX 1-0
Mchezaji wa zamani wa Mtibwa Sugar na timu ya taifa ya Tanzania Salum Machaku leo alikuwa anaichezea Black Six Sports Extra Ndondo Cup imezidi kunoga na kutoa burudani kwa mashabiki wa soka la Bongo...
View ArticlePICHA 20: CHIEF ALIVYOUTEKA UWANJA WA BANDARI BAADA YA KUTUA NA UNGO...
Jana Chief wa Kauzu FC aliuteka uwanja wa Bandari baada ya kutimiza ahadi yake ya kutua uwanjani kwa ungo kui-support timu yake wakati inacheza na Black Six mchezo ambao ulimalizika kwa Kauzu FC...
View ArticleUFARANSA VINARA KUTUMIA WACHEZAJI WENYE ASILI YA MATAIFA TOFAUTI EURO 2016
England ina rundo la wachezaji ambao wana asili ya mataifa mengine. Wakati Uingereza ikijiandaa kufanya marekenisho juu ya sheria zao za masuala ya uhamiaji miaka kadhaa baadaye, England na Wales wapo...
View ArticleUONGOZI MPYA WA YANGA UMETANGAZWA BAADA YA KURA ZOTE KUHESABIWA
Wajumbe wa kamati ya uchaguzi ya Yanga, wakihesabu kura za wagombea Yusuf Manji ameshinda nafasi ya uenyekiti wa Yanga kiulaini kutokana na kutokuwa na mpinzani kwenye nafasi hiyo hivyo kupita bila...
View ArticleKILIMANJARO FC TIMU YA WATANZANIA INAYOCHEZA LIGI SWEDEN, LENGO NI KUWATOA...
Na Baraka Mbolembole Goerge Kusila ni mwenyekiti, Humphrey J. Mwigama ni makamu mwenyeki pia ni kocha, Andrey Eustace ni katibu mkuu, Nyupi Mwakikosa ni meneja, Suleimani K. Said ni mratibu na Amon...
View ArticleETO’O AMEAMUA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA KITAMBO
Nyota wa Cameroon na soka la Afrika Samuel Eto’o aliyewahi kutamba na vilabu maarufu vya Ulaya kama FC Barcelona, Inter Milan na Chelsea amefunga pingu za maisha June 14. Eto’o ameamua kufungia ndoa...
View ArticleSTAND UNITED YAIFUNGULIA MASHTAKA TFF
TFF inatuhbumiwa na klabu ya Stand United ya mkoani Shinyanga kwamba haiungi mkono uongozi ambao ndiyo uliounda timu, badala yake na badala yake ina-support watu wacheche ambao wameingia kwenye timu...
View ArticleSPORTS EXTRA NDONDO CUP 2016: KAUZU FC YASHIKWA PABAYA
Leo June 15 michuano ya Sports Extra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka huku ikioneshwa moja kwa moja na Azam TV imeendelea tena ambapo leo ilichezwa michezo ya kukamilisha raundi ya pili bya...
View ArticlePICHA 30: BAADA YA KUTUA NA UNGO, CHIEF WA KAUZU ATINGA UWANJANI KWA STYLE MPYA
Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup imeendelea kutoa burudani ya aina yake hususan katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo wadau wengi wa soka husogea viwanjani kupata uhondo kutoka...
View ArticleIJUE STORY YA MICHEL PLATINI EURO 1984
Na Naseem Kajuna Katika jua kali la muda wa majira 1984, Michel Platini alikuwa kijana mdogo mwenye miaka 29. Ilikuwa rahisi kumtambua Platini kwa sababu ya nyusi zake kubwa na Afro lake jeusi ambalo...
View Article#NDONDOCUP2016: UHURU SELEMANI ATUPA MBILI TEMEKE MARKET IKITINGA 16 BORA
Sports Etra Ndondo Cup imeendelea tena leo kwenye viwanja viwili tofauti jijini Dar ikiwa ni hatua ya makundi. Kwenye uwanja wa Chuo cha Utalii zamani uwanja wa Bandari, Temeke Market wameichapa...
View Article