Serikali imepiga stop wachezaji wa kigeni VPL
Serikali ya imevipiga marufuku vilabu vinavyoshiriki ligi kuu Tanzania hususan Simba, Yanga na Azam kuwatumia wachezaji wa kigeni mpaka watakapokamilisha taratibu zao za uhamiaji. Umuamuzi huo umekuja...
View ArticleWchezaji wote na makocha wa Simba hawana vibali vya kufanya kazi nchini!
Katika hali ya kushangaza, imebainika kuwa wachezaji na makocha wote wa kigeni wa Simba SC hawana vibali vya kufanya kazi nchini. Awali ilidaiwa kuwa, wachezaji wawili wa kigeni waliosajiliwa katika...
View ArticleSanchez asema jiji la London lina stress sana
Alexis Sanchez amesema kwamba jiji la London lina stress sana akiwa kwenye wakati ambao kauli yake inaleta utata sana. Mchezaji huyu muhimu sana kwa club ya Arsenal yupo kwenye wakati wa kuamua future...
View ArticleAzam FC kuanzia raundi ya kwanza CAF
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limepanga droo ya Kombe la Shirikisho Afrika (CC), inayoonyesha kuwa Azam FC inaanza kufungua dimba la michuano hiyo kwa kucheza raundi ya kwanza. Hii ni mara ya pili...
View ArticleRatiba ya Yanga CAF Champions League
Draw ya mechi za awali kuwania taji la ligi ya mabingwa Afrika imetoka leo, Tanzania inawakilishwa na Yanga ambao ndio mkabingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu uliopita. Yanga imepangwa kucheza na...
View ArticlePogba aonyesha uwezo kupiga michano kama msanii Darassa
Kwa sasa hivi ngoma inayofanya vizuri kwenye hiphop ni Muziki wa Darassa. Wiki iliyopita nilikupa story ya kwanini Darasa alimtaja footballer Mbwana Samatta kwenye ngoma yake. Leo hii namfananisha...
View ArticleTambwe katuletea zawadi ya mtoto msimu huu wa Sikukuu
Wakati tunaelekea mwishoni mwaka 2016, mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga Amis Tambwe yeye amepata mtoto wa kiume mbaada ya mkewakwe kujifungua jana December 21. Mke wa Tambwe alijifungua majira ya...
View ArticleKuna timu Zanzibar inachekelea kuwakwepa waarabu michuano ya Caf
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Jana Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limepanga Draw ya mechi za awali kuwania taji la ligi ya mabingwa Afrika pamoja na kombe la Shirikisho, Wawakilishi...
View ArticleZimamoto kumtangaza mrithi wa Bares
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Wawakilishi wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika timu ya Zimamoto kesho wanatarajia kumtangaza kocha wao mkuu atakaefundisha timu hiyo hasa...
View ArticleMigi ameibukia Kenya
Kiungo aliyetemwa na klabu ya Azam FC na APR mnyarwanda Jean Baptiste Mugiraneza ‘Migi’ yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Gor Mahia ya Kenya inayoshiriki Kenyan Premier League (KPL) kwa lengo la...
View ArticleREKODI VPL: Mechi 7 Lyon haijachomoka kwa Yanga!!
Leo Ijumaa Decembember 23 kuna mchezo mmoja tu wa VPL kati ya African Lyon vs Yanga utachezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Katika mechi saba (7) za mwisho ambazo timu hizi zimekutana kabla...
View ArticleFull ratiba ya Mapinduzi Cup 2017
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Timu zitakazoshiriki kombe la Mapinduzi msimu huu zinatarajiwa kupata asilimia kumi ya mapato ya uwanjani baada ya kulipiwa gharama zote za siku ya mchezo. Kila...
View ArticleNgumu Kumeza ya kufungia mwaka 2016
Naingia bar moja karibu na makaburi ya Kinondoni nakutana na jamaa mmoja, anaponiona anaropoka kwa nguvu akisema, umechelewa kidogo sana, ungekutana na wanaodogodesha mpira hapa nchini walikuwepo...
View ArticleMama yake Masau Bwire anahitaji faraja kutoka Ruvu Shooting
Leo katika uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Kibaha, Pwani, Ruvu Shooting anamualika Tanzania Prisons katika mchezo wa VPL. Ushindi kwa Ruvu Shooting ni muhimu sana kwa timu ili ijiweke katika nafasi ya...
View ArticleTambwe, Msuva wanaweza kufikia rekodi ya Ngassa, Bocco, Kipre?
Na Baraka Mbolembole KATIKA misimu 6 iliyopita ya Ligi kuu Tanzania Bara, Azam FC imetoa washindi watatu katika tuzo ya mfungaji bora VPL. Mrisho Ngassa alikuwa mchezaji wa kwanza wa Azam FC kushinda...
View ArticleJicho la 3: Nilichokiona baada ya dadika 90’ za kwanza Pastory Athanas...
Na Baraka Mbolembole DAKIKA zake 90’ za kwanza kama mchezaji wa Simba SC zilimalizika vizuri, na zimemuachia kumbukumbu nyingine nzuri katika maisha yake ya soka. Alianza katika safu ya...
View ArticleHabari njema kuhusu Farid Musa
Baada ya kukwama kwa muda mrefu, hatimaye kijana Farid Musa anaondoka kwenda Spain kujiunga na klabu yake mpya ya Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Hispania (Segunda División) kwa...
View ArticleUbingwa sio lengo la Azam kwenye michuano ya Mapinduzi Cup
Afisa Habari wa Azam FC Jafar Idd amethibisha ushiriki wa klabu hiyo katika michuano ya Mapinduzi Cup inayotarajia kuanza December 30 hadi January 13 visiwani Zanzibar. Jafar Idd ametaja malengo ya...
View ArticlePICHA 5: Shaffih Dauda alivyotua kwenye Rede Zanzibar
Na AbubakarKhatib ‘Kisandu’, Zanzibar Timu ya Muembe Laduimefanikiwa kutinga hatua ya Robo fainali katika Mashindano ya Nage (Rede) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 20-17 dhidi ya Kikwajuni Magic...
View ArticleFarid Musa ametaja ushauri aliopewa na kocha aliyetimuliwa Azam FC
Wakati Farid Musa anaondoka jana December 28 kwenda Hispania kujiunga na timu ya Tenerife ni siku hiyohiyo ambapo benchi la ufundi la Azam FC likiongozwa na kocha mkuu Zeben Hernandez lilifutwa kazi....
View Article