Taifa Jangombe imefanikiwa kupata ushindi kwenye uzinduzi wa Mapinduzi Cup
Seif Hassan ‘Banda’ amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye michuano ya Mapinduzi Cup msimu huu baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi wakati wa mchezo wa ufunguzi kati ya Taifa...
View ArticleMaoni ya Shaffih Dauda baada ya Azam FC kufukuza makocha wao
Baada ya Azam FC kuwafuta kazi makocha wao wa kigeni, kumekuwa na maoni mengi ya wadau wa soka nchini. Mchambuzi mashuhuli wa masuala ya soka Shaffih Dauda kutoka Clouds Media Group na yeye ametoa...
View ArticleAzam imekamilisha idadi ya timu 3 zilizowasili Zanzibar
Azam imekamilisha idadi ya timu tatu kutoka Tanzania bara baada ya kuwasili Zanzibar leo jioni ikiwa ni muda mfupi tangu Yanga walipotia timu kwenye visiwa vya marashi ya Karafuu. “Michuano ya Mpinduzi...
View ArticleAlichokisema Mayanja baada ya Simba kutua Z’bar
Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao kwa ajili ya kuendeleza moto waliotoka nao ligi kuu Tanzania bara kwenye...
View ArticleHabari ya kusikitisha kuhusu mchezaji wa Simba kufiwa na watoto watatu
Klabu ya Simba imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya msiba wa watoto wa mchezaji wetu Juuko Murshid vilivyotokea leo huko kwao nchini Uganda. Vifo vya watoto hao watatu vimekuja katika kipindi hiki...
View ArticleBreaking News: Boniface Mkwasa sio kocha tena wa Taifa Stars
Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa. Rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter ametoa...
View ArticleAzam imefanikiwa kupata ushindi wa pili bila ‘Wahispania’
Azam FC imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimamoto katika mchezo wa Kundi B michuano ya Mazpinduzi Cup inayoendelea visiwani Zanzibar. Goli pekee katika mchezo huo limefungwa na Shabani Idd dakika...
View ArticleManeno ya dogo aliyetangazwa ‘man of the match’ vs Yanga
Nimefanikiwa kufanya mazungumzo mafupi na kijana mdogo Greyson Gerald ambaye alitangazwa kuwa man of the match wa mechi kati ya Yanga dhidi ya Jamhuri . Licha ya timu yake kupoteza kwa idadi kubwa ya...
View ArticleMwambusi ametoa 5 kwa Msuva
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema, amempa tano kiungo mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva lakini akasisitiza kuwa mchezaji huyo wa Taifa Stars ni bora zaidi ya alivyo sasa. Msuva alifunga...
View ArticleVideo:Magoli yote 6 ya Yanga vs Jamhuri Mapinduzi Cup2017
Yanga imefanya mauwaji kwenye mashindano ya Mapinguzi Cup kwa kutoa kipigo kikubwa zaidi tangu kuanza kwa michuano hii msimu huu kwa kuinyuka Jamhuri jumla ya magoli 6-0. Magoli ya Yanga yalifungwa na...
View ArticleMipango ya Simba kuelekea mchezo wao dhidi ya KVZ
Leo saa 2:15 usiku Simba itakuwa uwanjani kupambana kwenye mchezo wake wa pili dhidi ya KVZ kwenye Kundi A katika michuano ya Mapinduzi Cup. Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amesema wanahitaji...
View ArticleJang’ombe Boys imepata ushindi kwa mabigwa watetezi Mapinduzi Cup
Jang’ombe Boys imekuwa timu ya pili kutoka Zanzibar kupata ushindi kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2017. Boys wameifunga URA FC ya Uganda kwa magoli 2-1 na kuchukua pointi tatu muhimu ikiwa ni mechi...
View ArticleUshindi mwingine umeiongezea Simba pointi Mapinduzi Cup 2017
Simba imefikisha pointi 6 baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 mbele ya KVZ kwenye mchezo wao wa pili wa Kundi A michuano ya Mapinduzi Cup 2017. Bao pekee la ushindi wa Simba limefungwa na kiungo...
View ArticlePICHA3: Ibrahim Ajib ndani ya uwanja wa Amaan, Zanzibar
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Ibrahim Ajib yupo ameungana na timu yake baada ya kurejea kutoka Misri alikukokuwa akifanya majaribio kwenye kloabu ya Haras Al Hodoud. Ajib ameonekana kwenye uwanja wa...
View ArticleUshindi wa Simba vs KVZ ulivyobeba maana ya January 3 kwa Mzamiru
Kama ulikua hujui, leo January 3 ilikuwa ni birthday ya Muzamiru Yassin kiungo anayefanya vizuri kwa sasa kwenye klabu ya Simba na ligi kuu Tanzania bara kutokana na kiwango kizuri anachokionesha...
View ArticleVIDEO: Goli la Simba lililoipa Simba uongozi wa Kundi A Mapinduzi Cup 2017
January 3 Simba ilijiweka kwenye nafasi nzuri baada ya kupata ushindi wake wa pili kwenye michuano ya Mapinduzi Cup kwa kuifunga KVZ kwa goli 1-0 katika mchezo wa Kundi A uliochezwa kuanzia majira ya...
View ArticleBabi bado yupoyupo sana…
Kama ulikuwa na mawazo kwamba Abdi Kasim Babi astaafu soka basi umechemka, jamaa bado yupoyupo kwenye sana kwenye soka, hii ni baada ya kueleza mipango yake mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya...
View ArticleVIDEO: Mzamiru Yassin wa Simba alivyosherekea Birthday yake
Mzamiru Yassin ni mmoja kati ya wachezaji muhimu sana kwa sasa katika kikosi cha timu ya Simba ambapo amekua akiisaidia timu kwa kufunga magoli muhimu tangu ajiunge na timu hiyo msimu huu akitokea...
View ArticleJicho la 3: Saad Kawemba ameshindwa, Hans van der Pluijm ndiye mtu sahihi wa...
Na Baraka Mbolembole Awali sikuwa shabiki wa Hans van der Pluijm lakini miaka yake miwili na nusu kama kocha wa Yanga SC nitabaki kuamini ni kocha bora zaidi katika muongo wa pili wa karne mpya. Hans...
View ArticleMan of the match Azam vs Jamhuri ameapa kufa na Zimamoto
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Mlinda mlango wa timu ya Jamhuri Ali Suleiman Mrisho baada ya kuisaidia timu yake kupata suluhu kwenye mchezo kati ya Jamhuri na Azam amesema mchezo wao wa...
View Article