Jose Mourinho amsindikiza binti yake kununua nguo za ndani
Hii ilikua kabla ya mechi dhidi ya Spurs, Jose Mourinho alikuwa kwenye kazi za kibaba zaidi na binti yake teenager Matilde. Jose Mourinho alimpeleka mwanae kununua nguo za ndani kwenye duka maarufu la...
View ArticleStar wa Youtube aonyesha Usalama ndani ya Emirates Stadium ni mdogo
Ripoti zinaandikwa kwamba usalama wa mashabiki upo mashakani kutoka na kilichofanya na super star wa Youtube anaitwa DyingLlama. Jamaa huyu huwa anafanya video za ajabu kwenye channel yake ya Youtube....
View ArticleSimba bingwa ligi ya U-20
Timu ya vijana ya Simba SC U-20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la ligi kuu Tanzania bara kwa kuifunga Azam FC U-20 kwa mikwaju ya penati 5-3. Mchezo wa fainali ulichezwa kwenye uwanja wa Azam...
View ArticleDennis Edwin ndiye alinipeleka Tanzania Prisons, nitafanya vizuri nikipata...
Na Baraka Mbolembole “Nilipojiunga Prisons mwaka 2011 nilianza kucheza kama kiungo-mlinzi (namba 6) kutokana na ushindani mkubwa katika nafasi ya beki wa kati, lakini baada ya kuondoka kwa Issa...
View ArticleRatiba ya Europa Legue 32 bora imetoka, Genk ya Samatta pia ipo
Ratiba ya hatua ya 32 bora ya Europa League imeshatoka, watanzania wengi wanapenda kujua timu anayocheza Mbwana Samatta KRC Genk imepangwa na timu gani. KRC Genk itakuna na FC Astra Giurgiu ya Romania...
View ArticleSimba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar
Ratiba ya hatua ya 32 bora ya Europa League imeshatoka, watanzania wengi wanapenda kujua timu anayocheza Mbwana Samatta KRC Genk imepangwa na timu gani. KRC Genk itakuna na FC Astra Giurgiu ya Romania...
View ArticleRonaldo amemtupa Messi Ballon d’Or 2016
Star wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya heshima ya Ballon d’Or kwa mara ya nne. Ronaldo,31, aliisaidia Madrid kushinda Champions League msimu uliopita na alifunga magoli matatu kwenye...
View ArticleHaya ndio matokeo kamili ya Ballon D’or…wa kwanza hadi wa 17
Kila mtu anajua mshindi ni CR7 na kwa uhakika atakayekua anafuatia ni Messi. Vipi kuhusu top 10 imekamatwa na wachezaji gani?. Hii hapa ni listi kamili ya wachezaji walioingia kwenye top 17 kuelekea...
View ArticlePogba atakimbizwa au atamkimbiza kaka yake?
Huwa inatokea mara chache sana ndugu kukutana kwenye mashindano kama soka, hali hiyo imetokea kwa familia ya Pogba ambapo mtu na kaka yake watakuwa wanawindana uwanjani. Baada ya makundi kupangwa ya...
View ArticleMwaka huu ni zamu ya Riyad Mahrez.
Baada ya kucheza vizuri msimu uliopita na kusaidia club yake kushinda ubingwa wa England bila shaka Mahrez anasthili kushinda tuzo hii ya BBC African Player of the Year. Mchakato huu uliwahusisha...
View ArticleUkata unaitesa Stand United
Kocha mkuu wa Stand Utd Athuman Bilal anahofia ukata wa fedha unaoikabili klabu hiyo kwa sasa huenda ukawa kikwazo cha kikosi chake kushindwa kufikia malengo ya kufanya mazuri katika duru la lala...
View ArticleTPBC kutoa shule kwa mabondia wa Bongo
Shirikisho la masumbwi ya kulipwa nchini TPBC limeahidi kuendelea kutoa elimu kwa mabondia ambao bado hawafahamu utaratibu wa safari za kutoka nje ya nchi. Rais wa TPBC Palasa Chaurembo amesema...
View ArticleKura zilizompa Ronaldo Ballon d’Or ni mara mbili ya alizopata Messi
Cristiano Ronaldoalipata kura zaidi ya mara mbili ya kura kura alizopata Lionel Messi aliyemaliza nafasi ya pili, Ronaldo ameshinda tuzo ya France Football Ballon d’Or 2016. Tuzo hiyo ni ya nne kwa...
View ArticleHabari nzuri kwa Arsenal, wachezaji wawili wamekubali kuongeza mikataba
Habari kubwa kutoka Ufaransa inawahusu wachezaji wawili ambao sio Sanchez na Ozil wanaosubiriwa na mashabiki wengi. Taarifa kutoka RMC Sports zinawahusu wachezaji Olivier Giroud na Francis Coquelin...
View ArticleMkhitaryan; Mkali wangu wa EPL ni Thierry Henry
Maisha yanaanza kumnyookea Henrikh Mkhitaryan ndani ya Manchester United baada ya kuanza kufumania nyavu hasa kwenye mechi muhimu. Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 27 amesema wazi kwamba yeye akiwa...
View ArticleYaya Toure apewa hukumu hii mahakamani kwa kosa la kuendesha amelewa
Yaya Toure ambaye amekua akionyesha picha ya kuwa muumini mzuri wa dini ya “Uislamu” amekutwa na kosa la kuendesha kwa speed kali akiwa amelewa pombe. Yaya baada ya kupewa hukumu alisisitiza kwamba...
View ArticleGeorge Lwandamina na makocha wengine wapya raundi ya pili VPL 2016/17
Na Baraka Mbolembole LIGI Kuu ya kandanda Tanzania Bara (Vodacom Premier League 2016/17) inataraji kuendelea tena wikendi hii. Timu zote 16 zitaanza michezo ya mzunguko wa pili siku za Jumamosi na...
View ArticleMlinda mlango namba moja wa Taifa kukosa mechi mbili
Na Abubakar Khatib (Kisandu), Zanzibar Mlinda mlango mahiri wa timu ya Taifa Jangombe Ahmed Ali ‘Salula’ atakosa michezo yote miwili iliyobaki kuidakia timu yake ya Taifa Jangombe. Mlinda mlango huyo...
View ArticleKiganja yupo kiganjani mwa wanasimba
Na Hemed Kivuyo Mkutano mkuu wa dharura wa wanachama wa Simba uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam umemweka kiganjani Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohamed kiganja. Aliwahi...
View ArticleAUDIO: Kwa mara ya kwanza Kapombe kaitaja sababu iliyofanya aachane na soka...
Kama unafatilia vizuri masuala ya soka, basi utakuwa unakumbuka mwaka 2013 Shomari Kapombe wakati huo akiitumikia klabu ya Simba alipata nafasi ya kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya. Kapombe...
View Article