Mzee Kilomoni amefeli kuzuia mkutano wa Simba
Mahakama ya Wilaya ya Ilala metoa ruhusa kwa klabu ya Simba kufanya mkutano maalum wa dharura uliopangwa kufanyika December 11 mwaka huu. Maamuzi hayo yametokana na jaribio la zuio la mkutano huo...
View ArticleMechi ya Europa League Sassuola vs Genk yaota mbawa
Mchezo wa Europa League uliokuwa unaikutanisha Sassuolo ya Italia dhidi ya KRC Genk umeahirishwa kutokana na hali ya hewa kutoruhusu mchezo huo kuchezwa. Barafu iliyokuwa ikishuka imesababishwa mchezo...
View ArticleHamis Yusuph, Mzee Abdallah, Omar Matutta, Patrick Mrope, wamzungumzia Rahim...
Mzee Abdallah Ngaunja (wapili kutoka kushoto) kwa wliosimama Na Baraka Mbolembole KUFUATIA ‘mizengwe’ anayoifanya mmiliki wa African Lyon, Rahim Zamunda kwa wachezaji Waganda, Tito Okello na Hood...
View ArticleKiwango cha Henrikh Mkhitaryan kimezua mijadala mitandaoni
Mkhitaryan alifunga bonge la bao baada ya kuchukua mpira akiwa nusu ya uwanja (upande wa Man United) kisha kuwapangua wachezaji kadhaa wan a kufunga goli. Lilikuwa ni goli zuri kutoka kwa nyota huyo...
View ArticleStephano Mwasyika: Soka la Tanzania lina maadui wengi, malengo yangu ni kuwa...
Na Baraka Mbolembole “Nimecheza mechi nyingi nikiwa Tanzania Prisons, Yanga, Moro United na Taifa Stars lakini mechi ya Algeria 1-1 Tanzania mwaka 2012 siwezi kuisahau. Ilikuwa mechi ngumu sana, pia...
View ArticleSababu za Darasa na Mavoco kumtaja Samatta kwenye nyimbo zao
Ngoma nyingi zimeachiwa hivi karibuni za wakali wa Bongo flavor, kati ya ngoma hizo ni pamoja na heat song iliyofanywa na Darasa kwa kumshirikisha Ben Paul ngoma inajulikana kama MUZIKI, lakini pia...
View ArticleKlabu ya Arsenal imepost ujumbe kuhusu Uhuru wa Tanzania bara
Wakati Tanzania bara ikisherekea miaka 55 tangu ipate uhuru wake, klabu ya Arsenal inayocheza ligi kuu ya England imepost picha kwenye mtandao wa Facebook ya bendera ya Tanzania iliyoandikwa ‘Happy...
View ArticleMachache kuhusu Kaseke ndani na nje ya Yanga
Yahaya Mohamed ‘Mkazuzu’ alikutana na kiungo mshambuliaji wa Yanga Deusi Kaseke amabaye alisajiliwa kutokea Mbeya City. Amepiga nae stori na nyota huyo ambaye pia ni miongoni mwa wachezaji wa timu ya...
View ArticlePICHA 5: Matokeo mechi ya kirafiki Poilisi Moro vs Simba
Mchezo wa kirafiki kati ya Polisi Morogoro dhdi ya umemalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-0 katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Magoli ya Simba yamefungwa na Ibrahim Ajibu , goli la...
View ArticleBEACH SOCCER: Tanzania imepata ushindi mbele ya Uganda
Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa soka la ufukweni kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Uganda umemalizika kwa Tanzania kupata ushindi wa magoli 7-5. Mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja maalum...
View ArticleSimba yatinga fainali U-20
Simba U20 imetinga hatua ya fainali ya michuano ya ligi kuu Tanzania bara kwa vijana chini ya miaka 20 baada ya kuifunga timu ya Stand United ya Shinyanga. Dakika 90 za mchezo huo wa nusu fainali...
View ArticleYanga inyang’anywe pointi zote kwa kumtumia Kessy – Rage
Ismail Aden Rage-Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba SC Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni...
View ArticleWachezaji wa Uganda wapigwa chini kwa upangaji matokeo
Beki wa zamani wa kimataifa wa Uganda Godfrey Kateregga na Saddat Kyambadde wametimuliwa na Police Football Club kwa upangaji matokeo. “wachezaji hao walikiri,” alisema mwenyekiti wa klabu Assan...
View ArticleLwandamina aanza kwa kichapo Yanga
Yanga imechwapwa 2-0 na JKU ya Zanzibar kwenye mchezo wa kujipima nguvu uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga yachezesha timu mbili Yanga wamechezesha vikosi viwili tofauti katika...
View ArticlePluijm ameishuhudia Yanga ikilazwa na JKU
Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm alikuwa jukwaani akiishuhudia klabu yake ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar. Pambano hilo lilisukumwa kwenye uwanja wa...
View ArticleWaziri Nchemba anakaba hadi mechi za kirafiki!
Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba, ameonekana tena kwenye mchezo wa kirafiki wa Yanga wakati wanaikabili JKU kutoka visiwani Zanzibar. Mh. Nchemba ameonekana kwenye mechi nyingi za...
View ArticleKaburu kasema hajamuona ‘mkata umeme,’ amemuona ‘kishoka’
Makamu wa Rais wa klabu ya Simba SC Geofrey Nyange ‘Kaburu’ amesema hajamuona kiungo wa Yanga Justine Zulu ambaye kwa sasa ni maarufu kwa jina la ‘mkata umeme’. Badala yake Kaburu amesema aliyemuona...
View ArticleAUDIO: Maneno ya Lwandamina baada ya kupoteza mchezo wa kirafiki
Kocha mpya wa Yanga amesema Yanga ni timu nzuiri ameona walivyocheza , ameona mapungufu yaliyojitokeza baada ya mchezo wao wa kirafiki dhidi ya JKU yaliyopelekea kupoteza mchezo huo kwa magoli 2-0 na...
View ArticleMaamuzi yaliyofikiwa na Simba kwenye mkutano wa dharura
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa klabu ya Simba SC Patrick Kahemele, zaidi ya 98% ya wanachama waliohudhuria mkutano wameunga mkono agenda mabadiliko ya katiba iliyopelekwa kwenye mkutano wa dharura....
View ArticleWatu 38 wafariki baada ya mlipuko nje ya Uwanja wa Besiktas
Mashambulizi mawili ya kujilipua mabomu yametokea nje ya uwanja wa soka wa club ya Besiktas ambayo inashiriki ligi kuu ya Uturuki siku ya Jumamosi usiku sana. Milipuko hiyo imetoka nje ya uwanja wa...
View Article