![rr]()
Kila mtu anajua mshindi ni CR7 na kwa uhakika atakayekua anafuatia ni Messi. Vipi kuhusu top 10 imekamatwa na wachezaji gani?. Hii hapa ni listi kamili ya wachezaji walioingia kwenye top 17 kuelekea kumtafuta mshindi wa Ballon Dor.
Unazungumziaje mpangilio huu? Nani kaonewa nani kapendelewa?
![messi]()