Kauli ya Kiganja kuhusu Mkutano Mkuu wa dharura wa Simba
Mohamed Kiganja-Katibu Baraza la Michezo Tanzania Siku moja baada ya klabu ya Simba kutangaza mkutano mkuu wa dharura kwa ajili ya kufanya mabadiko ya katiba yao, Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo...
View ArticleCristiano Ronaldo ameamua kujiweka kwa model wa Madrid
Jarida la udaku la Italia linalofahamika kwa jina la Chi limezifuma picha mpya za superstar wa Madrid Cristiano Ronaldo akiwa amerejea tena kwenye game ya mahusiano. Hivi karibuni Ronaldo alimwagana...
View ArticleAchaneni na migogoro ya Simba na Yanga, igeni kutoka Azam FC – Makonda
Akiwa kwenye ziara yake inayofahamika kama Dar Mpya, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Novemba 22 alitembelea makao makuu ya klabu ya Azam FC yaliyopo Chamazi wilayani Temeke. Katika ziara...
View ArticleTetesi za Drogba kurejea Stamford Bridge
Baada ya legend wa Liverpool Steven Gerrard, ikafata zamu ya mkongwe wa Chelsea Frank Lampard. Siku ya Jumatano asubuhi Novemba 23 Didier Drogba ameungana na makamanda hao wa Premier League kutangaza...
View ArticleAUDIO: Maguli ameeleza tofauti ya soka la Tanzania na Oman
Aliyekua mshambuliaji wa klabu za Ruvu Shooting, Simba SC pamoja na Stand United Elias Maguli ameelezea tofauti ya uendeshaji wa soka wa Tanzania na Oman anakocheza soka kwa sasa katika klabu ya...
View ArticleStyle ya kushangilia yampa dili la tangazo Antoine Griezmann
Kwa wale ambao wanamfatilia Antoine Griezmann wanajua jinsi anavyoshangilia magoli yake pale anapofunga. Griezmann huwa anacheza kama Drake na nyimbo ya Hotline Bling. Style hiyo hiyo Puma wameichukua...
View ArticleHuyu Kamusoko mnyime kilakitu ila sio Chapati
Kama unafatilia soka la Tanzania hususan ligi kuu Tanzania bara basi jina la Thabani Kamusoko ‘rasta’ sio geni kwako kwa namna yeyote ile. Mzimbabwe huyu amejizolea umaarufu mkubwa kwa uwezo wake...
View ArticleUamuzi wa Zaha ili kucheza timu ya taifa ya Ivory Coast
Winga wa Crystal Palace Wilfred Zaha amerejesha maombi FIFA ya kubadili utaifa wake kutoka England kwenda Ivory Coast. Zaha ambaye alizaliwa Abidjan lakini akakulia England, ameshaitumikia England...
View ArticleFikiri Magosso: Simba SC ilihujumiwa fainali ya Caf 1993, kaelezea mengi...
Fikiri Magoso (wapili kutoka kushoto waliochuchumaa) akiwa na kikosi cha Simba kilichocheza fainali ya Caf mwaka 1993 Na Baraka Mbolembole KUANZIA wiki hii nitakuwa nikiwaletea kolamu ya wachezaji wa...
View ArticleNdege iliyobeba wachezaji wa Brazil imeanguka Colombia
Habari za kusikitisha katika ulimwegu wa soka ni kwamba, klabu ya Chapecoense ya Brazil imepata ajali baada ya ndege iliyokuwa imebeba wachezaji pamoja na viongozi kuanguka kwenye mji wa Medellin,...
View ArticleAlichouliza mchezaji wa Chapecoense baada ya kunusurika kwenye ajali ya ndege
Habari zilizo-trend sana leo kwenye upande wa soka ni kuanuka kwa ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa Chapecoense. Sasa katika watu walionusurika katika ajali hiyo mbaya iliyotokea kwenye mji wa...
View ArticleMaradona ameeleza Fidel Castro alivyookoa maisha yake
Legend wa soka la Argentina Diego MAradona amesema bado anahisi kwamba mwanamapinduzi wa Cuba bado yuko hai hadi leo kutokana na uhusiano waliojenga wawili hao. Ijumaa Novemba 25, Fidel Castro,...
View ArticleChristmas imekuja mapema kwa Arsenal
Zimebaki siku nyingi kidogo hadi sikukuu ya Christmas ifike lakini kwa upande wa Arsenal kama vile imekuja mapema kidogo. Kwa mashabiki wa Arsenal wanaweza kuwa wameiona hii picha ikimuonyesha manager...
View ArticleLeo ni birthday ya Hassan Isihaka, Ndemla ameandika ujumbe huu kwenda kwake
Said Hamis Ndemla na Hassan Isihaka ni moja ya wachezaji marafiki sana. Urafiki wao si tu kwasababu wamewahi kucheza timu moja ambayo ni Simba SC bali wote wawili walipandishwa kutoka Simba B kwa...
View ArticleSiri ya viungo kuwa makocha bora Duniani
Tumeshuhudia makocha wengi wakipata mafanikio makubwa kwenye mchezo wa soka, lakini kikubwa zaidi ni wachezaji wengi ambao walicheza soka katika nafasi ya kiungo wamekuwa wanafanya vizuri katika...
View ArticleAjali 4 za Ndege zilizogharimu maisha ya wachezaji wengi zaidi Duniani
Story ya kuanguka kwa ndege iliyokuwa imebeba wachezaji wa klabu ya Chapecoense ya Brazil imechukua headlines kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii dunia nzima, huku likiwa tukio ambalo...
View ArticleManeno ya mwisho ya golikipa wa timu iliyopa ajali ya ndege
Golikipa wa Chapecoense Danilo aliyeokolewa kutoka kwenye ajali ya ndege iliyoanguka Medellin, Colombia alifariki baada ya kuvuja na kupoteza damu nyingi sana ndani na pia kuharibika viungo vyake....
View ArticleMartial ataitia hasara Man United endapo ataendelea kufunga
Ulikuwa ni usiku mzuri kwa upande wa mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial. Mfaransa huyo alionekana kurejea kwenye ubora wake kenye kikosi cha Jose Mourinho na kufanikiwa kutupia bao...
View ArticleArsenal yasukumwa nje ya EFL
Magoli ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand yameitupa nje Arsenal kwenye kombe la EFL na kuipeleka Southampton hatua ya nusu fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1987. Kocha wa Arsenal Arsene Wenger...
View ArticleMtoto wa Zidane amefunga goli kwenye mechi yake ya kwanza Real Madrid
Kocha wa Real Madri Zinedine Zidane akimpa maelekezo mtoto wake Enzo kabla hajaingia uwanjani Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema ilikuwa ni ‘special’ kwa mtoto wake Enzo kufunga goli kwenye...
View Article