Kwa wale ambao wanamfatilia Antoine Griezmann wanajua jinsi anavyoshangilia magoli yake pale anapofunga. Griezmann huwa anacheza kama Drake na nyimbo ya Hotline Bling. Style hiyo hiyo Puma wameichukua na kufanya nae tangazo ambalo limetumia ngoma ya Panda ya msanii Designer.
Hili hapa ni tangazo ambalo linaangaliwa sana kwa sasa.