Quantcast
Channel: NYINGINE – ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Christmas imekuja mapema kwa Arsenal

$
0
0

screen-shot-2016-11-29-at-7-45-11-pm
Zimebaki siku nyingi kidogo hadi sikukuu ya Christmas ifike lakini kwa upande wa Arsenal kama vile imekuja mapema kidogo.

Kwa mashabiki wa Arsenal wanaweza kuwa wameiona hii picha ikimuonyesha manager wao na wachezaji Cazorla na Bellerin wakiwa kwenye muonekano wa Christmas.

Picha hii na video zimetoka kwenye kurasa wa Arsenal ambapo hii ni kampeni ya kijamii ya Arsenal. Tangazo lenyewe linamuonyesha Wenger akiwa anajibu swali la mwandishi wa habari ambapo mwishoni video inawahamasisha mashabiki wa sign up kuchangia watoto.

Arsenal wameanza msimu wa sikukuu vizuri baada ya kushinda magoli 3-1 dhidi ya Bournemouth. Ili kuendeleza msimu huu Arsenal foundation na Save the Children’s Christmas imekuja kwa wakati wa muafaka ikiwa ni jukumu lao la lazima kijamii.

Enjoy kuangalia video


Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>