Quantcast
Channel: NYINGINE – ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Maneno ya mwisho ya golikipa wa timu iliyopa ajali ya ndege

$
0
0

danilo

Golikipa wa Chapecoense Danilo aliyeokolewa kutoka kwenye ajali ya ndege iliyoanguka Medellin, Colombia alifariki baada ya kuvuja na kupoteza damu nyingi sana ndani na pia kuharibika viungo vyake.

Alifikishwa hospitali akiwa amevunjika miguu yote, mikono, mbavu tatu huku figo yake ikiwa imeharibika.

Inasemekana kabla ya kufariki alisema maneno haya: “Yesu itazame familia yangu kisha chukua uhai wangu haraka. Tayari baadhi ya rafiki zangu wananisubiri mbinguni, wanahitaji golikipa huko walipo.”


Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>