KAMA NI KWELI, YANGA INAFANYA MAKOSA KATIKA AFYA YA HAJI MWINYI
Na Baraka Mbolembole KIPAJI kikubwa cha uimbaji cha Ray C na Chid Benz kimekwamia katika matumizi ya madawa ya kulevya ‘Janga hatarishi zaidi kwa vijana hivi sasa.’ Kuna picha imeendelea kusambaa kwa...
View ArticleYANGA NI MABINGWA WA TANZANIA MARA 25, SIYO 26!
Na Zaka Zakazi Mei 22, 2016, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Ally Upapa ‘Canavaro’ aliinua kwapa kupokea kombe la ubingwa wa Tanzania uliohesabiwa na shirikisho la soka hapa nchini TFF kama ubingwa wa...
View ArticleROONEY ASAIDIA MASIKINI PESA ZA MECHI YAKE
Zlatan Ibrahimovic amecheza kwa mara ya kwanza kwenye dimba la Old Trafford akiwa kama mchezaji wa Manchester United walipocheza na Everton katika mchezo maalum kwa ajili ya Wayne Rooney ulioisha bila...
View ArticleAVEVA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinadai kwamba, Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva anashilikiwa na jeshi la poili kwenye kituo cha Urafiki. Aveva anashikiliwa na polisi kwa kibali cha...
View ArticleBALOZI WA CHINA, MAKONDA, WASHUSHA NEEMA NDONDO CUP
Usiku wa August 4 ubalozi wa China nchini Tanzania chini ya balozi Dkt. Lu Youqing ulizialika timu tatu zilizofanya vizuri kwenye mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup msimu huu wa 2016. Timu...
View ArticlePICHA 20: NDONDO CUP ILIVYOTOKA USWAZI NA KUTINGA UBALOZI WA CHINA
Alhamisi August 4, mashindano ya soka la mchangani ‘Ndondo’ yalipiga hatua nyingine baada ya kutoka uswazi na kutinga katika ubalozi wa China nchini Tanzania kwa mwaliko maalum wa chakula cha jioni....
View ArticleTANZANIA NA KIFO CHA OLIMPIKI
Na Zaka Zakazi Leo Agosti 5, 2016, michezo ya 31 ya Olimpiki itafunguliwa rasmi jijini Rio nchini Brazil. Tanzania itakuwepo! Katika michezo ya mwaka huu, Tanzania itawakilishwa na wanamichezo saba;...
View ArticleUTHIBITISHO WAPATIKANA KAMA MWINYI ANATUMIA AU HATUMII MADAWA YA KULEVYA
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar Baada ya kuzagaa picha mbalimbali na taarifa kuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Mwinyi Haji Ngwali ‘Bagawai’ anatumia madawa ya kulevya,...
View ArticleMOURINHO: RONALDO HAKUWA NA MSAADA FAINALI YA EURO
Jose Mourinho amesema kwamba Cristiano Ronaldo hakuwa na msaada wowote kwenye mchezo wa fainali wa Euro ambapo Ureno waliibuka na ushindi wa bao 1-0. Ronaldo alilazimika kutoka nje katika kipindi cha...
View ArticleHATIMAYE MANJI ATAKA KUIMILIKI YANGA
Baada ya mfanya biashara tajiri Afrika Mohammed Dewji kuonesha nia ya kutaka kuweka mkwanja kwenye klabu ya Simba, leo tajiri mwingine wa Bongo na mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji amewaomba wanachama...
View ArticleYANGA IMEHITIMISHA DAKIKA 45O BILA USHINDI
Yanga imeendelea kuandamwa na jinamizi la kukosa ushindi kwenye mechin zake baada ya leo Jumamosi August 6 kulazimishwa sare ya bila kufungana kwenye mchezon wa kirafiki wa kujipima nguvu dhidi ya...
View ArticleTATHMINI YANGU KUHUSU OMBI LA MANJI KUIMILIKI TIMU HIYO KWA ASILIMIA 75
Na Samuel Samuel Awali ya yote ningeomba tuitambue kwa ufupi sana klabu hii ya Young Africans ‘Yanga’ tangu ilipoanzishwa, maendeleo iliyofikia , mifumo ya uendeshaji toka kuanzishwa kwake na...
View ArticleSAMATTA NA GENK YAKE WACHEZEA KIBANO
Mchezo wa ligi ya Ubelgiji (Belgium Pro League) kati ya Gent dhidi ya Genk umemalizika kwa Genk kuchapwa bao 1-0 na kupoteza pointi tatu muhimu. Genk ambayo inachezewa na mtanzania Mbwana Samatta...
View ArticleHUU NI UJUMBE WA HAJI MANARA, SIMBA IKIADHIMISHA MIAKA 80
Happy birthday my lovely club..80 yrs anniversary Na Haji S Manara Watanzania wenzangu hususan wana Simba, tarehe kama ya leo 8-8-1936, wazee wetu ambao wengi wao tayari wapo mbele ya haki walianzisha...
View ArticleMAVUGO AANZA KWA BAO SIMBA
Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo ambayeametua Msimbazi hivi karibuni, leo amefunga goli lake kwanza kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya AFC Leopard ya Kenya mechi ambayo imemalizika kwa...
View ArticleSIMBA YAWASHUKURU MASHABIKI
Uongozi wa klabu ya Simba na benchi la ufundi, kwa pamoja unawashukuru sana wanachama, washabiki wake na watu wote waliohudhuria kwenye sherehe za miaka 80 ya klabu yetu ambazo zilijumuisha kilele cha...
View ArticleMAUMIVU YA ‘ANKLE’ YAMUWEKA NJE BEKI WA VPL
Na Baraka Mbolembole MLINZI wa kulia wa Toto Africans ya Mwanza, Salum Chuku ameshindwa kufanya mazoezi takribani wiki moja sasa kufuatia kupata majeraha katika mguu wake wa kushoto. Mlinzi huyo wa...
View ArticleMAKONDA AFAFANUA POST YAKE KUHUSU YANGA ILIYOZUA UTATA INSTAGRAM
Siku za hivi karibuni, habari ya town katika michezo ni uamuzi wa wanachama wa Yanga kuamua kuikodisha timu yao pamoja na nembo kwa Yusuf Manji ambaye pia ni Mwenyekiti wa klabu hiyo kongwe zaidi...
View ArticleMCHANGO WA YEO POGBA NYUMA YA MAFANIKIO YA PAUL POGBA
Paul Pogba ni jina ambalo limegonga vichwa vya habari kwa muda mrefu sana, lakini jana likashika zaidi baada ya kusajiliwa rasmi na klabu ya Manchester United. Safari ya soka ya Paul Pogba imeanzia...
View ArticleLIST MPYA YA WANASOKA 10 WANAOLIPWA MKWANJA MREFU DUNIANI
Kwa mujibu wa mtatndao wa sokkaa.com, wachezaji wawili bora duniani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamewaacha wengine mbali katika kuvuta mkwanja mrefu kwa upande wa wacheza soka. Ronaldo, ambaye...
View Article