Quantcast
Channel: NYINGINE – ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

PICHA 15: UHONDO WA NDONDO NJE YA UWANJA

$
0
0

IMG_0480

Asikwambie mtu utamu wa Ndondo upo nje ya uwanja, hilo limeendelea kudhihirika wakati wa mchezo wa robo fainali kati ya Misosi FC dhidi ya Gomz United mchezo uliomalizika kwa Misosi kutinga nusu fainali baada ya kuitungua Gomz kwa mikwaju ya penati.

Nje ya uwanja kulikuwa na amsha-amsha za kutusha, camera ya shaffihdauda.co.tz ilikuwepo ili kuhakikisha inakusogezea matukio yote yalijiri uwanja wa Bandari kuwa karibu na wewe.

Hebu angalia picha hizi halafu dondosha comment yako hapo chini ni kitu gani kinakuvutia sana kwenye mechi za Ndondo Cup tangu msimu huu uliopoanza.

IMG_0515 IMG_0516 IMG_0511 IMG_0521 IMG_0505 IMG_0508 IMG_0501 IMG_0496 IMG_0499 IMG_0490 IMG_0483 IMG_0474 IMG_0489 IMG_0478


Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>