Hat-trick yampaisha Hilika Zanzabar
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Mshambuliaji wa Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika jana amekuwa kinara kwa kucheka na nyavu baada ya kupiga Hat-trick timu yake iliposhinda 8-0 dhidi ya Kimbunga...
View ArticleMambo 8 usiyoyajua kuhusu Himid Mao ‘Ninja’ wa Azam FC
Na Zainabu Rajabu MAISHA ya mpira huenda kasi sana, dakika 90 pekee huweza kumfanya mchezaji awe mfalme au mtumwa katika timu. Shangwe na nderemo zinazozizima uwanjani kutokana na mapigo ya mpira...
View ArticlePost za mastaa baada ya Simba kuifunga Yanga 2-1
Hakuna ubishi kwamba mechi ya Simba na Yanga inawaleta pamoja watu wa kada mbalimbali bila kujali vyama vyao vya siasa, dini, kabila wala rangi zao, wadau wa mchezo wa soka hujumuika kwa pamoja...
View ArticleYanga yalalamika Simba inabebwa
Klabu ya Yanga kupitia kwa Katibu Mkuu wake wamelalamikia kutokuwepo na usawa kwa Simba na yanga katika matumizi ya viwanja vya Uhuru na ule wa Taifa. Mkwasa amesema, Yanga kesho inatakiwa kucheza...
View ArticleWababe wa Simba waishia mikononi mwa Singida Utd
Disemba 22, 2017 Simba ikiwa bingwa mtetezi wa kombe la shirikisho Tanzania bara ilivuliwa ubingwa na Green Warriors kwa kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya sate ya kufungana 1-1 ndani ya...
View ArticleCostal Union imerejea VPL, kocha kaweka historia baada ya miaka 30
Hatimaye Costal Union ya Tanga imefanikiwa kurejea ligi kuu Tanzania bara kwa ajili ya msimu ujao (2018/19) baada ya kupata matokeo ya ushindi wa magoli 2-0 dhiodi ya Mawenzi market ya Morogoro kwenye...
View ArticleChuji kaweka mezani faili la Coastal kupanda daraja
Kiungo mkomgwe wa soka nchini Athumani Idd ‘Chuji’ amesema mechi za ligi daraja la kwanza ni ngumu na kuzifananisha na fainali. Chuji ameisaidia Coastal Union kurejea ligi kuu baada ya timu hiyo...
View ArticleKMC kufanyiwa party kusherekea ligi kuu
Baada ya kusubiri kwa takribani miaka miwili hatimaye timu ya manispaa ya kinondoni kmc leo imefanikiwa kupanda ligi kuu tanzania bara baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 ugenini dhidi ya JKT Mlale...
View ArticleDar yachekelea ‘utitiri’ wa timu VPL
Uongozi wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam (DRFA ) chini ya mwenyekiti wake Almasi Kasongo unasherekea timu zake kuendelea kupanda ligi kuu tanzania bara baada ya JKT Tanzania na KMC...
View Article“Ukicheza Simba, Yanga, ukaondoka wanasahau bado ni mchezaji mzuri”-Humud
Watu wengi wamekuwa wakitafsiri mchezaji aliyefanikiwa kucheza ligi kuu anaporudi ligi daraja la kwanza biashara yake inakuwa imekwisha, lakini kiungo mkongwe Abdulhalim Humud ‘Gaucho’ hakubaliani...
View ArticleMdogomdogo Morocco wanatoboa Afrika
Michuano inayoshirikisha wachezaji wanao cheza ligi za nfani-Afrika (CHAN) imemalizika jana Februari 4, 2018 huku wenyeji Morocco wakiibuka mabingwa baada ya ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Nigeria...
View ArticleAfrican Lyon yakamilisha hesabu ligi daraja la kwanza
African Lyon imekamilisha idadi ya timu sita zilizopanda daraja kucheza ligi kuu Tanzania bara msimu ujao baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kiluvya United katika mchezo wa mwisho wa Kundi A...
View ArticleTumeziona timu zilizopanda VPL msimu ujao, bingwa nani? Hii ndiyo njia mbadala
Na Baraka Mbolembole TIMU Sita ambazo zimefanikiwa kupanda ligi kuu Tanzania Bara msimu ujao kutoka ligi daraja la kwanza tayari zimefahamika baada ya kukamilika kwa michezo ya Kundi A Jumatatu hii....
View ArticleNiyonzima kufanyiwa upasuaji India
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima anatarajia kwenda nchini India kufanyiwa upasuaji mdogo kwenye mguu unaomsumbua na kumfanya asionekane uwanjani siku za karibuni kutokana na kuuguza majeraha. Afisa...
View ArticleManara hataki Yanga wazomewe
Uongozi wa klabu ya Simba umewaomba mashabiki wake kutowazomea wachezaji wa Yanga watakapokuwa wanaiwakilisha Tanzania kwenye mechi ya kombe la vilabu bingwa Afrika Jumamosi dhidi ya St. Louis Suns...
View ArticleBaada ya kupanda ligi kuu, KCM inarudishwa kwa wananchi Kinondoni
Baada ya kupanda daraja wiki moja iliyopita, timu ya KMC FC inayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni itatambulishwa rasmi kwa wanachi wa wila hiyo na mkoa wa Dar es Salaam kwa ujumla siku ya Jumamosi...
View ArticleSimba kuna ‘presha’ kubwa”-Aishi Manula
Golikipa namba moja wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula ameweka wazi tofauti iliyopo kati ya timu mbili ambazo amezitumikia hadi sasa (Azam na Simba) katika ligi kuu...
View ArticleBocco amewaita mashabiki uwanja wa Taifa
Mshambulaji wa Simba John Bocco amewaomba mashabiki wa timu kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuishuhudia timu yao ikicheza kwa mara ya kwanza mashindano ya Afrika baada ya kupita misimu mitano...
View ArticleSimba imerudi anga za kimataifa
Simba wamerejea kwenye anga za kimataifa kwa ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Gendarmerie National ya Djibouti katika mchezo wa Caf Confederation Cup. Wekundu wa Msimbazi wamesubiri kwa miaka mitano (5)...
View ArticleVideo-Kocha Simba kawajibu wanaobeza 4G kimataifa
Baada ya Simba kushinda kwa magoli 4-0 kwenye mcheO wao wa kwanza wa kimataifa dhidi ya Gendarmerie, mashabiki wa wekundu wa Msimbazi wanasema Simba ilikuwa na uwezo wa kupata ushindi mkubwa zaidi ya...
View Article