Video-“Tulifikiri Simba wangetufunga 9 au 10”-kocha Gendarmerie
Baada Gendarmerie kupoteza mchezo wao kwa magoli 4-0 dhidi ya Simba, kocha mkuu wa timu hiyo Mvuyekure Issa amesema mawazo na fikra zao kabla ya mchezo huo ilikuwa huenda wakafungwa magoli 9 au 10...
View ArticleUshindi finyu wa Yanga kimataifa, Shaffih Dauda ameona tatizo
Weekend iliyopita vilabu viwili vya Tanzania (Yanga na Simba) vilicheza mechi zao za kwanza za mashindano ya kimataifa msimu huu vikiwa kwenye uwanja wa nyumbani. Jumamosi Yanga walicheza mechi ya Caf...
View ArticleYanga nawakumbusha ‘kushindwa kujiandaa ni kujiandaa kushindwa’
Na Baraka Mbolembole MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga SC watashuka tena dimbani Jumatano hii kuwavaa Majimaji FC katika mchezo wa raundi ya 18 ligi kuu Tanzania Bara. Yanga wapo nyuma kwa alama...
View ArticleTFF imetangaza kumfungia Juma Nyoso
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Juma Nyoso wa Kagera Sugar kwa kosa la kupiga shabiki baada ya mchezo kati ya timu yake dhidi ya Simba kwenye...
View ArticleYanga imepigwa faini
Klabu za Lipuli na Yanga kila moja imepigwa faini ya Tsh. 500,000 (laki tano) kwa kutumia milango isiyo rasmi kuingia uwanjani, kitendo ambacho ni ukiukaji wa Kanuni ya 14(14) ya Ligi Kuu. Adhabu dhidi...
View ArticleGoms United yasimamisha mabingwa Ndondo Super Cup
Goms United imefanikiwa kufuzu fainali ya Ndondo Super Cup baada ya kuifunga Itezi 3-2 katika mchezo huo uliochezwa uwaja wa Bandari, Temeke, Dar es Salaam. Misosi ni washindi wa pili wa Ndondo Cup...
View ArticleViongozi Toto Africans wagawana magodoro ya timu
Baada ya Toto Africans ya Mwanza kushuka daraja kutoka ligi daraja la kwanza hadi ligi daraja la pili, baadhi ya viongozi wa klabu hiyo wameanza kuchukua vifaa ikiwemo magodoro. Mwenyekiti wa...
View Article“Bocco atasafiri hata kama hatocheza”-Simba
Nahodha wa Simba John Bocco anatarajia kusafiri na timu kwenda Djibouti kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Caf Champions League dhidi ya Gendarmerie ingawa hakuna uhakika kama mshambuliaji huyo...
View ArticleMwambieni Chirwa hajafikia thamani iliyomleta Yanga, Niyonzima ni mfano...
Na Baraka Mbolembole OBREY Chirwa amefunga goli lake la 11 msimu huu katika ligi kuu Tanzania Bara (goli moja pungufu ya yale aliyofunga katika msimu wake wa kwanza akiichezea Yanga SC). Raia huyu wa...
View ArticleFainali Ndondo Cup 2017 yajirudia 2018
Ile fainali ya Ndondo Cup 2017 kati ya Misosi FC dhidi ya Goms United hatimaye inajirudia tena katika fainali ya Ndondo Super Cup 2018 baada ya Misosi FC kufuzu hatua hiyo kwa kuifunga 2-0 timu ya...
View ArticleNina uhakika Simba watasonga mbele, Yanga wafanye kazi”-Shaffih Dauda
Vilabu vya Simba na Yanga vinatarajia kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya Afrika leo na kesho michezo ambayo itaamua nafasi ya ya vilabu hivyo kusonga mbele kwenye mashindano. Simba inashuka...
View ArticleMwanza imetoa mshindi wa tatu Ndondo Super Cup
Kabla ya kupigwa fainali ya Ndondo Super Cup 2018, ulichezwa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa mashindano hayo ambapo Mnadani FC wameibuka washindi baada ya kuifunga Itezi United kwa goli 1-0...
View ArticleKombe la Ndondo Super Cup limebaki Dar
Msosi FC wamefanikiwa kuwa mabingwa wa kwanza wa michuano ya Ndondo Super Cup 2018 baada ya kuendeleza ubabe dhidi ya Goms United kwa kuifunga 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye uwanja wa...
View ArticleBaada ya Yanga kufuzu kimataifa, “Sasa tunarudi kwenye ligi”-Kessy
Yanga imesonga mbele kwenye michuano ya vilabu bingwa Afrika licha ya kutoka sare ya kufungana 1-1 ugenini dhidi ya St Louis ya Seychelles ikiwa ni mchezo wa marudiano, vigogo hao wa VPL walishinda 1-0...
View ArticleInfantino ametaja sababu FIFA kuchagua kufanya mkutano Tanzania
Inawezekana ujio wa Rais wa FIFA gianni ifantino nchini pamoja na wajumbe mbalimbali wa shirikisho hilo la soka duniani umestua watu wengi ambao wanajiuliza kwa nini wamechagua kuja Tanzania halafu...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Kassim aunga mkono FIFA mapambano ya rushwa
Rais wa FIFA Gianni Infantino akiwa Tanzania kwa ajili ya kongamano maalumu la kutathmini maendeleo ya mpira wa miguu (The Executive Football Summit) alipata fursa ya kukutana na Waziri Mkuu wa Jamhuri...
View ArticleNgumu kumeza iliyogusa, wachezaji, mawakala, usajili
Wakala wa mwanamichezo anatambulika kisheria kama mwakilishi wa kocha, mchezaji, kwenye mikataba ya michezo baina ya mchezaji na timu au mwanamichezo na taasisi nyingine akisimamia haki za msingi...
View ArticleRashidi Mandawa ameisafishia njia Yanga Botswana
Mshambuliaji wa kimataifa kutoka tanzania anaecheza soka kwenye klabu ya BDF XI Rashid Mandawa, jana Jumatatu Februari 26, 2018 amefunga hat-trick dhidi ya township rollers ambao ni wapinzani wa yanga...
View ArticleWasauzi kuhukumu Simba vs Al Masry
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limewapanga waamuzi kutoka nchini Afrika Kusini kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika wakati Simba itakapocheza na Al Masry ya Misri Machi 7,...
View ArticleYanga vs Rollers kuamuliwa na warundi
Shirikisho la mpira wa miguu Africa (CAF) limewataja waamuzi kutoka Burundi kuwa ndio watachezesha mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers FC ya Botswana...
View Article