Quantcast
Channel: NYINGINE – ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Ushindi mwingine umeiongezea Simba pointi Mapinduzi Cup 2017

$
0
0

dsc_0240

Simba imefikisha pointi 6 baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 mbele ya KVZ kwenye mchezo wao wa pili wa Kundi A michuano ya Mapinduzi Cup 2017.

dsc_0250

Bao pekee la ushindi wa Simba limefungwa na kiungo Mzamiru Yassin dakika ya 44 kipindi cha kwanza ambalo lilidumu kwa muda wote uliosalia.

dsc_0218

Simba wamepata ushindi wa pili mfululizo baada ya kushinda 2-1 kwenye mechi yao ya kwanza dhidi ya Taifa Jang’ombe wakati KVZ wao wamepoteza mechi zao mbili na kujiweka kwenye nafasi finyu ya kusonga mbele.

dsc_0244

Ratiba ya kesho Jumatano January 4, 2017

Kundi B

Saa 10:00 jioni Yanga vs Zimamoto

Saa 2:15 usiku Jamhuri vs Azam


Viewing all articles
Browse latest Browse all 565

Latest Images

Trending Articles



Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>