TFF imemfungia kocha miaka 5 kujihusisha na soka
Kamati ya Maadili ya TFF iliyokutana Februari 3, 2018 na Februari 17, 2018, katika ofisi za TFF Karume, pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa pia ilipitia na kutoa hukumu ya tuhuma za kutoa taarifa...
View ArticleMafanikio ya Msuva yanapogeuka changamoto kwa mdogo wake
James Msuva ni mdogo wake Simon Msuva ambaye kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Difaa el Jadida ya Morocco, james ni miongoni mwa wachezaji wa mbao ambao wanafanya vizuri kwa sasa tofauti na wakati...
View ArticleRage navyomkumbuka mchezaji wa Simba aliyefariki
Kiungo wa zamani wa Sunderland na baadaye Simba Arthur Mambeta amefariki dunia jana Alhamisi Februari 28, 2018. Mambeta si jina geni katika ramani ya soka la Tanzania, ni miongoni mwa wachezaji...
View ArticleVilabu vimepewa darasa kujiendesha kwa faida
Semina ya siku moja yenye lengo la kuvijengea uwezo vilabu vinavyoshiriki ligi kuu, ligi daraja la kwanza na la pili imefanyika leo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali walioviwakilisha vilabu hivyo....
View ArticleMo kamtibua kocha
Kocha mkuu wa Simba Pierre Lechantre ameweka wazi sababu za mchezaji Mohamed Ibrahim ‘Mo’ kutoonekana hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba baada ya ujio wake ndani ya kikosi cha wekundu wa...
View ArticleKocha aliyefungiwa miaka 5 amekata rufaa
Baada ya kuhukumiwa miaka mitano kutojihisha na masuala ya soka, kocha Joseph Kanakamfumu ameamua kukata rufaa juu ya hukumu hiyo iliyotolewa na kamati ya maadili ya TFF baada ya kumtia hatiani katika...
View ArticleHaji Manara amezungumzia mechi yao na Al Masry
Leo Jumamosi Machi 3, 2018 afisa habari wa Simba Aji Manara amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu mchezo wao wa Caf Confederation Cup dhidi ya Al Masry unaotarajiwa...
View ArticleAzam wamefafanua basi lao kuwapokea waarabu wa Simba
Kama umeshuhudia picha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii, wapinzani wa Simba kwenye michuano ya kombe la Afrika, timu ya Al Masry wameonekana wakitumia basi la Azam kutoka uwanja wa ndege wa Mwl JK...
View ArticleShaffih Dauda baada ya Yanga kupoteza mechi ya kimataifa nyumbani
Kumekuwa na maoni mengi na mitazamo tofauti baada ya mechi ya Caf Champions League kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers mchezo ambao umeshuhudia yanga ikipoteza nyumbani kwenye uwanja wa taifa kwa...
View Article“Simba inauwezo wa kuifunga Al Masry magoli 4 lakini kazi lazima...
Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la shirikisho barani Afrika (Caf Confederation Cup) wekundu wa Msimbazi Simba, wanatarajia kushuka uwanjani leo jumatano februari 7, 2018 kucheza dhidi ya Al Masry...
View ArticleNdondo Cup 2018 ‘washtue wana!’
Msimu wa Ndondo Cup 2018 umezinduliwa rasmi leo Machi 9, 2018 Dar es Salaam na kamati ya mashindano hayo chini ya mwenyekiti wake Shaffih Dauda. Uzinduzi huo umefanyika katika mkutano na waandishi wa...
View ArticleWakili ameeleza kesi ya Wambura ilivyoendeshwa
Kamati ya maadili ya TFF imetangaza kumfungia imemfungia kutojihusisha na masuala ya soka kwa kipindi chote cha maisha yake Makamu wa RAIS wa TFF Michael Wambura baada ya kumtia hatiani katika makosa...
View ArticleBaada ya kufungiwa, Wambura aibua mapya TFF
Ukimwaga mboga, namwaga ugali ni miongoni mwa misemo maarufu ya lugha ya Kiswahili ambao unaweza kutimia baada ya Makamu wa Rais wa TFF kufungiwa maisha kujihusisha na masuala ya soka kufuatia kutiwa...
View ArticleWambura ana haki ya kukata rufaa?
Mwenyekiti wa kamati ya maadili hamidu amesema baada ya hukumu ya kumfungia maisha Makamu wa Rais wa TFF Michael Richard Wambura kutojihusisha na shughuli za soka, Wambura ana nafasi ya kukata rufaa...
View ArticleMwanasheria alivyochambua hukumu ya makamu wa Rais TFF
Baada ya kamati ya maadili kumfungia makamu wa rais wa TFF Michael Richard Wambura kumekuwa na mijadala mingi miongoni mwa wadau wa soka, baadhi wakihoji kama kanuni na sheria zilifuatwa kulingana na...
View ArticleHukumu ya Wambura pasua kichwa
Mhadhilizi wa sheria chuo kii cha Tumaini Dar es Salaam Edwin Mgandila ametoa maoni yake juu ya utaratibu uliotumika kusikiliza shitaka la wambura na utaratibu upi unaotakiwa utumike “Ni wazi kwamba...
View ArticleRufaa ya Wambura imesheheni sababu 5
Wakili anaemtetea Michael Wambura, Emanuel Muga amesema kwamba, wao wameamua kukata rufaa ili kutafuta haki ya mteja wake. Muga amesema katika rufaa hiyo imesheheni masuala ya kisheria na kuna sababu...
View ArticleMkurugezi kampuni iliyokuwa inaidai TFF yupo tayari kutoa ushahidi kesi ya...
Mmoja wa wakurugenzi wa Jeksc Systems Limited iliyokuwa inaidai TFF Jost Rwegasira ameibuka na kuzungumzia kuhusu barua au nyaraka za kampuni hiyo zinazodaiwa zilighushiwa. Rwegasira amesema yupo...
View ArticleShaffih Dauda amchana Nyamlani “Usituchafulie taasisi”
Story kubwa kwenye soka la bongo kwa sasa ni kuhusu uteuzi wa Athumani Nyamlani kuwa makamu wa Rais wa TFF ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi baada ya Michael Wambura kufungiwa maisha kujihusisha na...
View ArticleNiyonzima amerudi Simba
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima ameanza mazoezi na wenzake baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha. Niyonzima alikwenda india kwa ajili ya matibabu ambapo ilielezwa angefanyiwa upasuaji...
View Article