MANENO YA NEYMAR BAADA YA BRAZIL KUFUZU FAINALI YA OLYMPIC
Neymar amefunga bao baada ya sekunde 14 tangu kuanza kwa mchezo-goli la mapema zaidi kwenye historia ya michuano ya Olympic wakati Brazil ilipoiadhibu Honduras kwa magoli 6-0 na kutinga fainali kwa...
View ArticlePICHA KADHAA KUTOKA KIJIJI CHA OLYMPIC RIO BRAZIL
Nilipata fursa ya kutembelea kijiji cha Olympic mahali wanapoishi wanamichezo wote wanaoshiriki maashindano ya Olympic 2016 inayoendelea mjini Rio. Nimeweka picha kadhaa ili upate kuona mwonwkano wa...
View ArticleTUNARUDI VIFUA MBELE, HAKUNA ANAYETUDAI-KOCHA TIMU YA KUOGELEA
Kocha wa timu ya taifa ya kuogelea ya Tanzania Alexander Mwaipasi (kulia) anaamini wachezaji wake wamefanya vizuri kwenye mashindano ya Olympic licha ya kutopata medali, katikakati ni muogeleaji Hilal...
View ArticleMAAMUZI MAPYA KUHUSU KESSY KUITUMIKIA YANGA
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imelipitisha jina la mlinzi wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhani kuitumikia klabu hiyo baada ya hapo awali kuwepo na mvutano mkubwa na klabu yake ya zamani...
View Article‘MMEJIDANGANYA’ KWA MAVUGO, LEOPARDS IMEWAJAZA MATUMAINI HEWA SIMBA
Na Baraka Mbolembole NIMEIONA Simba SC ilivyowatala mabingwa mara 6 wa kihistoria wa Cecafa Kagame Cup, timu ya AFC Leopards kutoka Kenya na kuwachapa 4-0 siku ya kusherehekea miaka 80 ya kuanzishwa...
View ArticleASILI YA AINA ZA USHANGILIAJI ZA WANAMICHEZO PINDI WANAPOFUNGA
Na Faraji Fowz Zeggeson Tasnia ya muziki imekuwa bega kwa bega na michezo hata imekuwa ikiingiliana wapenzi .Yani wanaopenda michezo na muziki kwa wakati mmoja. Tumeona mara nyingi tu wanamuziki...
View ArticleSERENGETI BOYS YAZIDI KUPIGA HATUA KUELEKEA MADAGASCAR
Timu ya taifa ya vijana chini miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imepata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya vijana ya Afrika Kusuni katika mchezo wa marudiano uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex...
View ArticleRIPOTI MAALUM YA MKUTANO WA DHARURA ULIORIDHIA KUIKODISHA YANGA KWA MANJI
RASIMU ZA DONDOO YA MKUTANO WA DHARURA WA MWAKA WA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB AGOSTI 6, 2016. SALA ZA UFUNGUZI Sala ya Wakristo ilisomwa. Sala ya Waislam ilisomwa. UFUNGUZI WA MKUTANO ULIFANYWA NA...
View ArticleTFF YAPIGA PINI WACHEZAJI WALIOSAJILIWA ‘KIMAGUMASHI’
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kutoa tahadhali kwa timu tano za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juu ya kuwatumia wachezaji ambao imewasajili, lakini imebainika mbele ya...
View ArticleMALINZI AWEKWA KATI NA BMT
Baraza la Michezo Tanzania (BMT) lipo katika mchakato wa kutaka kujiridhisha juu ya tukio la Rais wa TFF Jamal Malinzi kuamua kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kagera wakati...
View ArticleKAULI YA WAZIRI NAPE, NA SAKATA LA STAND UNITED KUJITOA VPL 2016/17
Nape Nnauye-Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Na Baraka Mbolembole ‘PANDE’ mojawapo kati ya zile mbili zinazopigania ‘madaraka’ katika klabu ya Stand United ya Shinyanga inakaribia...
View ArticleMKWASA KUTANGAZA KIKOSI KUIKABILI NIGERIA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Nigeria (NFA), limesogeza mbele kwa siku moja mchezo kati ya timu ya taifa ya Nigeria ‘The Super Eagles’ na Tanzania ‘Taifa Stars’ ambako sasa utafanyika Septemba 3, 2016...
View ArticleMUGABE AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WANAMICHEZO WALIOCHEMSHA OLYMPIC BRAZIL
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemwagiza mkuu wa Polisi wan chi hiyo Augustine Chihuri kuwakamata wachezaji wote wa timu iliyokwenda inchini Brazil kwenye mashindano ya Olympic mara tu...
View ArticleMASHABIKI WAMLIZA JOE HART
Mechi ya marudiano ya klabu bingwa Ulaya kuwania kufuzu hatua ya makundi kati ya Manchester City dhidi ya Steaua Bucharest ilikuwa na hisia za aina yake kwa mlinda mlango wa Man City Joe Hart. Claudio...
View ArticleZESCO WAPEWA MAMELODI, MAZEMBE VS ETOILE KLABU BINGWA NA KOMBE LA SHIRIKISHO...
Ratiba ya nusu fainali ya Michuano klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imetoka, ambapo kwa upande wa Kombe la Shirikisho, TP Mazembe itamenyana na Etoile du Sahel ya Tunisia, huku MO Bejaia ya Algeria...
View ArticleJicho la 3: SIWEZI KUMLAUMU DEO DIDA, UONGOZI HAUKUWA MAKINI CAF 2016…
Na Baraka Mbolembole SIWEZI kumlaumu Deogratius Munishi ‘Dida’ kwa kuvaa jezi iliyotengenezwa na kampuni nyingine tofauti na zile walizotumia wachezaji wengine katika game ya Caf Confederation Cup...
View ArticleKAMUSOKO ADHIHIRISHA MAPENZI KWA MAMA YAKE KWA KUMWANDIKIA UJUMBE ‘MURUA’
Thabani Scara Kamusoko, kiungo mkabaji na wakati mwingine mchezeshaji ni moja ya wachezaji mahiri na wenye nidhamu kubwa katika klabu ya Yanga. Uwepo wake kwa kushirikiana na wachezaji wengine...
View ArticleJUMA MGUNDA APEWA KIBARUA KUINOA COASTAL UNION
Juma Mgunda ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya Coastal Union ya jijini Tanga. Coastal Union iliyoshuka daraja msimu uliopita baada ya kufanya vibaya kwenye michezo yake ya ligi kuu Tanzania bara na...
View ArticleMKWARA MZITO!! MADIWANI MBEYA MARUFUKU KUSAFIRI NA MBEYA CITY
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala amepiga marufuku Madiwani kutumia fedha za serikali kusafiri na timu Ya Mbeya City, Makala amesema hayo ni matumizi mabaya ya fedha wakati akihutubia kikao cha...
View ArticleNIA NINAYO, SABABU NINAZO NA NGUVU NINAZO, NATAMANI KUONA NAPATA TENA NAFASI...
Na Baraka Mbolembole LICHA ya kuzurura kwa miaka kumi katika vilabu vya Ashanti United, Mtibwa Sugar, Simba SC, Azam FC, Coastal Union, kiungo ‘maestro’ Abdulhalim Humoud hakuweza kufikia kiwango kile...
View Article