IMETHIBITISHWA: Lwandamina ameitosa Yanga
Imethibitika kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina amerejea kwao Zambia na amejiunga rasmi la klabu yake ya zamani ZESCO United ambayo alikuwa akiifundisha kabla ya kujiunga na Yanga....
View ArticleFIFA yampiga pini kwa miezi 12 raisi aliyewataka Wapalestina kuchoma jezi ya...
Chama cha soka ulimwenguni FIFA kimemfungia kwa miezi 12 raisi wa chama cha soka cha Palestina Jibril Rajoub kutojihusisha na masuala yoyote ya soka baada ya kuagiza kuchomwa moto jezi za Lionel Messi....
View ArticleHazard na Jorginho wazidi kung’ara, Rooney kuweka rekodi
24 – Wilfried Zaha ndiye mfungaji bora wa muda wote wa Crystal Palace kwenye michuano ya ligi kuu. Mpaka sasa ana mabao 24, huku Chris Armstrong akishikikia nafasi ya pili na mabao 23. 86 – Jorginho...
View Article“Ingekuwa masumbwi Taifa Stars isingepangwa na Uganda”-Kiemba
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Amri Kiemba amesema ingekuwa ni mchezo wa masumbwi timu Taifa Stars isingepangwa na Uganda kwa sababu timu hizo mbili hazipo kwenye mizani sawa. “Naipongeza timu kwa...
View ArticleBondia Mtanzania aushangaza ulimwengu
Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo alieyempiga bondia wa England Sam Eggington katika pambano la utangulizi kabla ya pambano kuu kati ya Amir Khan dhidi ya Samwel Vargas kwa sasa anawataka ma-star wa...
View ArticleBondia Mtanzania apongezwa Bungeni
Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyempiga bondia wa Uingereza Sam Eggington katika pambano la utangulizi kabla ya pambano kuu kati ya Amir Khan dhidi ya Samuel Vargas, leo amepongezwa na serikali...
View ArticleViwanja Afrika machinjio ya mashabiki
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 40 kujeruhiwa kwenye vurugu zilizotokea kabla ya mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Madagascar na Senegal huko Antananarivo siku ya Jumapili. Vurugu hizo zilitokana na...
View ArticleKaimu Rais atuliza hofu Simba
Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba chini ya makamu mwenyekiti wake Stephen Ally imethibitisha kukamilika kwa zoezi la uchukuaji fomu za kugombea katika klabu hiyo huku anaekaimu nafasi ya Rais Salim...
View ArticleVigogo wa Rwanda waliomhonga refa watiwa mbaroni
Mabosi wa chama cha soka cha Rwanda FERWAFA waliokumbwa na kashfa ya kuhonga refa kwa sasa wanatumia ndoo za korokoni. Tumezoea kusikia kuwa marefa wamehongwa lakini hatujawahi kusikia wanaowahonga ni...
View ArticleSakata la mwamuzi kupewa rushwa Rwanda katika sura nyingine
Viongozi wa FERWAFA (Katibu Mkuu wa FERWAFA Francois Regis Uwayezu na kamishna wa mashindano Eric Ruhamiza) wanaoshikiliwa kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa waamuzi waliochezesha mechi kati ya Rwanda...
View Articlekwani Yanga na Welayta kuliendaje?
Mchezo wa kombe la shirikisho kati ya Yanga na Wolayta Dicha SC kutoka Ethiopia umekamilika. Yanga waliweza kupata ushindi wa magoli mawili kwa bila na kujiweka mguu mmoja mbela katika hatua ya...
View ArticleIMETHIBITISHWA: Lwandamina ameitosa Yanga
Imethibitika kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina amerejea kwao Zambia na amejiunga rasmi la klabu yake ya zamani ZESCO United ambayo alikuwa akiifundisha kabla ya kujiunga na Yanga....
View ArticleHabibu Kyombo asiyependa bata alivyoamua kuichagua Singida na kuitosa Simba
Zoezi la usajili linazidi kupamba moto huku vilabu vya Simba, Singida United na Azam vikionekana kufanya usajili mapema tofauti na timu nyingine. Mshambuliaji aliyesajiliwa na Singida United hivi...
View ArticleMaelfu wahudhuria mashindano ya mbio za Mbuzi Dar
Fursa ya kwanza ya uandaaji wa mashindano maarufu ya mbio za mbuzi imekuwa ya mafanikio kwa Klabu ya Rotary ya Oysterbay. Tukio hilo lenye burudani ya aina yake lilikwenda kwa Motto wa ‘Wakanda Goat...
View ArticleRock City Marathon yazinduliwa Mwanza
Msimu wa tisa wa mbio za Rock City Marathon umezinduliwa rasmi jijini Mwanza mwishoni mwa wiki hii huku wito ukitolewa kwa wadau wa utalii na michezo nchini hususani Kanda ya Ziwa kutumia mbio hizo...
View ArticleOfisi ya Marathon Mwanza yazinduliwa
Hatimaye ofisi za Rock City Marathon zimezinduliwa rasmi jijini Mwanza ambayo itakuwa ikihudumia mikoa yote iliyopo Kanda ya Ziwa. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha amezindua ofisi hizo...
View ArticleKim kajiuzulu TFF
Mshauri wa ufundi wa TFF kwa timu za vijana Kim Poulsen amejiuzulu nafasi yake. Kim amezungumza na The Citizen na kusema amejisikia vibaya kuchukua uamuzi huo ambapo anawaacha vijana wenye vipaji wa...
View ArticleNdoto ya Kiemba kwa Himid imetimia
October 2016 katika mishemishe zangu kwenye mitaa ya Shinyanga mjini nilikutana na Amri Kiemba miongoni mwa viungo bora kuwahi kuwashuhudia Bongo. Kiemba alikuwa gym anajiweka fit kwa sababu wakati huo...
View ArticleAbdi Banda! Hakamatiki tena! anatafutwa na mabingwa
Kupitia jarida maarufu la habari ncini Afrika Kusini Soccerladuma limeripoti kuwa mlinzi mahiri wa klabu ya Baroka Fc Abdi Banda a.k.a Abdi “Van Djik” anawindwa na mabingwa wa msimu na mabingwa mara 8...
View Article